habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,793
- 8,739
zamu yako inakujaKutwa kuteua, hakuna kazi nyingine jamani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zamu yako inakujaKutwa kuteua, hakuna kazi nyingine jamani?
Mbona keshajiteua kuwa waziri wa ujenzi Makame mbalawa yupo pale kama boya tu hajui afanye niniKuna siku atasahau ajiteu na yeye
HahahahaMbona keshajiteua kuwa waziri wa ujenzi Makame mbalawa yupo pale kama boya tu hajui afanye nini
Kanda nyingine 'mwenge unaruka vijiji mkuu'.Kuna tatizo gani? kila teuzi mnauliza kabila? Tubadilike tuulize CV.
UTEUZI: Rais Magufuli amemteua Bw. Bernard Hezron Konga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF).
Kabla ya uteuzi huu Bwana Benard Konga alikuwa akikaimu nafasi hiyo