UTEUZI: Bi Yustina A. Rahhi ateuliwa kuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia CCM

Singo Batan

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
292
191
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemteua Bi. Yustina Rahhi kuwa Mbunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya CCM, Rahhi ameteuliwa kufuatia kifo cha Mhe. Martha Umbulla aliyekuwa Mbunge wa CCM Viti Maalum.

 
Kufa kufaana!! Wengine wanaomboleza kifo cha mpendwa wao, wengine wanasherehekea kupata ulaji!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…