Utetezi Mahakamani

Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,389
1,131
Jamaa mmoja kapelekwa kortini akashtakiwa kwa kosa la mauaji.
Akaruhusiwa kuanza kujitetea

JAMAA:"Bwana judge mi ninatatizo kubwa,kila nikiota ndoto yangu inakuwa kweli.niliota mke wangu kazaa mapacha....kweli akazaa mapacha.
Nikaota duka langu limevunjwa...kweli wezi wakaja wakalivunja.
Wiki iliyopita sinikaota gari yangu mpya imeibiwa!! Siku mbili baadae gari yangu ikaibiwa.
Sa bwana Judge mi nimelazimika kumuua huyu mshikaji..sababu jana niliota ananibaka!....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…