Hakimu..ameniba...kanibaka kweli...

heaven on desert

JF-Expert Member
Jan 25, 2013
1,025
393
Mangi alikuwa
mahakamani kashtakiwa
kwa kosa la mauaji.
Akaruhusiwa kuanza
kujitetea; MANGI:
Mheshimwa mi ninatatiso
maku..makubwa kweli, kila
nikiota ndoto inakuwa
kwee.... inakuwa kweli.
Niliota mke wangu kasaa
mapacha ikawa kweli
ikawa kweli akasaa
mapaa...mapacha. Nikaota
duka langu wamefunja,
nilipoamka nikakuta
wamefu....wamefunja
kweli. Mwesi uliopita
sinikaota kari yangu mpya
imeungu...imeungua, siku
mbili badae si ikaungua.
Sasa nililasimika kumuua
Gody kwa kuwa usiku
niliota ananiba.......
ananibaka, msee hakimu
inkekuwa wewe
ungekubali?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom