Ukiona wanavyoendesha Halmashauri utadhani ni familia zao, wee aacha tu.Ukrugenzi wa halmashauri ni kazi ya kilofa mizigo yote unaangushiwa wewe
Nishalijua hilo🤣🤣🙌Dah kuna jina nalisubiri kila siku mwaka wa saba huu bila bila
Ndipo mtoa barua alipo kwa sasa! Dakar, Senegal!Sijaelewa
Dakar
24 January 2023
Hio Dakar Ina maana gan?
Si kama hao tu walivyowekwa wote kutoka upande mmoja kwani wakiwekwa wa upande mwingine kuna ubaya gani!Tunaweka dini yetu. Hao wote ni makafir.