PreGE2025 Utengano huu? Sio udhaifu huu?

PreGE2025 Utengano huu? Sio udhaifu huu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Edogan

Member
Joined
May 19, 2024
Posts
39
Reaction score
63
Wakati Sheihk akishauri kua wanaozunguka wakidai tume huru ya uchaguzi washughulikiwe.

Unakutana na chama ambacho uchaguzi uliopita kiongozi wa ngome ya vijana wake alichezea kichapo cha mbwa mwizi bila kosa lolote, kikisisitiza kua kitashiriki uchaguzi yani badala ya vyama vyote viungane ili vipate fursa sawa ya kugombea nakuchaguliwa wao wameona ndio fursa kwao kwani watabaki wapinzani pekeao.

Yaani wanafikiri watu ni wajinga hawajui kwanini chama fulani kimejitoa.
 
Wakati Sheihk mukuu wa waislamu akishauli kua wanaozunguka wakidai tume huru ya uchaguzi washughulikiwe. Unakutana na chama ambacho uchaguzi uliopita kiongozi wa ngome ya vijana wake alichezea kichapo cha mbwa mwizi bila kosa lolote,kikisisitiza kua kitashiliki uchaguzi yani badala ya vyama vyote viungane ili vipate fulsa sawa ya kugombea nakuchaguliwa wao wameona ndio fulsa kwao kwani watabaki wapinzani pekeao yani wanafikili watu ni wajinga hawajui kwanini chama fulani kimejitoa.
mipango ya vyama haiwezi kufanana pia act wazalendo ni washirika wa ccm kwenye serikali zanzibar.
 
Wakati Sheihk akishauri kua wanaozunguka wakidai tume huru ya uchaguzi washughulikiwe.

Unakutana na chama ambacho uchaguzi uliopita kiongozi wa ngome ya vijana wake alichezea kichapo cha mbwa mwizi bila kosa lolote, kikisisitiza kua kitashiriki uchaguzi yani badala ya vyama vyote viungane ili vipate fursa sawa ya kugombea nakuchaguliwa wao wameona ndio fursa kwao kwani watabaki wapinzani pekeao.

Yaani wanafikiri watu ni wajinga hawajui kwanini chama fulani kimejitoa.
Shekh mwenye akili ni ponda na wachache wenye utimamu. Ila wengi wao ni mabox kichwani
 
Back
Top Bottom