Yaani tena ukiwa kwenye chombo cha usafiri kwenye zile za kushikilia bomba halafu mbele yako yupo umbo mbinuko utajuta kuwa na kiungo kilichojitokeza nje kidogo ya mwili (pipe>) ,
Unaweza sikia konda akisema kwa kumwambia huyo mdada wewe abiria rudi nyuma kuna nafasi naiona hapo, kumbe uliyeko nyuma yake ni ww na hiyo nafas kati yake na ww iko accupied na baadhi ya maumbile yake, sasa bora avae kwa staha unakuta kakuvalia skin jinsi, halafu konda bado anakomaa.... Ww dada rudi nyuma hiyo nafas isiwepo pasipo kujua kumbe kuna mwendelezo wa umbile la mtu na linamgusa jamaa... [emoji23]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.