Utendaji wa TBA, Mzee, si tulikutonya?

Ila fahamu kuna miradi wameitekeleza kwa wakati na kwa ufanisi,nyumba za wanafunzi,udsm,ikulu ya rais Dodoma,wasilaumie moja kwa moja,pengine kuna tatizo lisilo lao,sema mkubwa hakosei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila fahamu kuna miradi wameitekeleza kwa wakati na kwa ufanisi,nyumba za wanafunzi,udsm,ikulu ya rais Dodoma,wasilaumie moja kwa moja,pengine kuna tatizo lisilo lao,sema mkubwa hakosei

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu upo Tanzania kweli?
Unatoa mfano wa hosteli za wanafunzi UDSM?
You are not serious, umezisikia "expansion joints"
 
Hiyo ni kawaida mafundi ujenzi hasa mtaani, unampa ramani au unamwonyesha sehemu anakwambia hapa hela ndogo tuu, ukianza huo ujenzi hela aliyokwambia wala si robo kwa gharama halisi.
 
Bilioni 10!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila fahamu kuna miradi wameitekeleza kwa wakati na kwa ufanisi,nyumba za wanafunzi,udsm,ikulu ya rais Dodoma,wasilaumie moja kwa moja,pengine kuna tatizo lisilo lao,sema mkubwa hakosei

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana labda km upo TBA unawatetea kwa TBA, hapa Dodoma TBA walipewa nyumba zote za CDA badala ya kuwapa NHC sasa wakawafukuza wapangaji wote ambao si watumishi sehemu mbalimbali km Area C, Mjini kati Uzunguni nk ambako hata Mkuu wa mkoa huko kusini alikuwepo katika upangaji huo na akakarabati mpaka kujenga fensi.
Tamko likatoka kuwa ondokeni kuna Watumishi wa Serikali wanahamia kutoka DSM tunataka kuzikarabati.
Fungu walilopewa naona ni maji ya moto yaliyopoa kwani hakuna ukarabati mpaka nyasi zimevamia ndani mpaka viwanja vya watoto kuchezea,
TBA mnamuangusha Rais na hizi nyumba za Dodoma mnyang'anywe hata hizo nyumba za Serikali huko Mtumba ni kituko bora Wizara zibaki kwanza UDOM mpaka watakapopata wakandarasi binafsi na si Serikali yenyewe, wapewe Makampuni binafsi hata na ya nje km China nk
Jamani Serikali ya Kenya imejitoa kabisa katika ujenzi wa Majengo ktk Mji wa Nairobi majengo marefu ni ya makampuni ya nje km BRITAM TOWER ambapo Ofisi nyingi na za Serikali zimepanga
 
Kazi za ujenzi wapewe makampuni ya ukandarasi, TBA wabaki na kazi zao za kutangaza na kutathmini tender na ubora wa majengo na kufanya utafiti kwenye maswala ya ujenzi
 
Mimi nipo Kijiji cha Mwendakulima huku,nauliza hivi zile ghorofa za Magomeni kota zimeshaisha?maana sisi huku habari za Tanzania (Dar es salaam) tunazipata kwa nadra Sana
Mwenye taarifa naomba tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
serikali kitu inaweza ni kuthibiti watu wenye kuonesha njia kwa kukosoa madhaifu yao.

hapo watafanya kila kitu ila sijui kutoa huduma za kijamii,ulinzi, hapo ni bashite
Hapo kwenye kutoa huduma za kijamii ni 0 kabisa ...reference ni mradi wa mwendo kasi na viwanda vilivyokufa nchini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…