Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,284
- 30,158
Mzee anachuki anapoona wakandarasi wanapewa tenda so wacha avune alichopanda ndio maana hafanikiwi malengo take Kwa chuki zakeJana mh. Rais kaja juu.
Idara yake penzi ya TBA inasuasua.
Huko Magereza Ukonga ligwatide la ujenzi wa nyumba unaenda kwa mwendo wa kinyonga!
TBA walipewa, CASH, bilioni 20kujenga nyumba za wana Msgereza mwaka 2016, mpaka sasa mradi umefikia 35% ya maendeleo.
Mradi msjuzi ulitembelewa na waziri mdogo Mambo ya Ndani Masauni.
Kwa spidi ya utekelezaji wa mradi TBA itawachukua miska 12 kukamilisha kaxi, leo ni mwska wa 3-4 toka kazi ianze.
Lakini ngoja kidogo mzee, mh Rais.
Si tulikutonya hapa JF na kwingineko mitandaoni?
Ile ilikuwa early warning
TBA sio mkandarasi, ni wakala wa nyumba za serikali , na tulijua hilo wslitambua vema, maana si mgeni Wizara ya Ujenzi.
WAKALA TBA kazi yake ku manage masuala ya nyumba za serikali, si kujenga.
Vituko vilianza na mabweni ya chuo kikuu Mlimani.
Sitaonhelea pesa ndogo kiduchu zinazosemekana kutumika, lakini ni wazi kazi ilikuwa chini ya viwango
Mwanafunzi aliyelalsmika mitandaoni juu ua kupasuka kuta, aliwekwa ndani, lakini si kwa amri yako ni wale wssiotaka kukutonya ukweli.
Mawaxo ysngu mzee, TBA wsrudi kwenye kaxi yao ya Uwakala, kazi za Ujenzi wawaachie wabobezi, Makandarasi.
Usichanganye jina, yeye hakukurupuka. Anajua muundo wa hiyo taasisi kuwa ina kitengo cha ujenzi. Ishu ni kwamba hawana uwezo.Jana mh. Rais kaja juu.
Idara yake penzi ya TBA inasuasua.
Huko Magereza Ukonga ligwatide la ujenzi wa nyumba unaenda kwa mwendo wa kinyonga!
TBA walipewa, CASH, bilioni 20kujenga nyumba za wana Msgereza mwaka 2016, mpaka sasa mradi umefikia 35% ya maendeleo.
Mradi msjuzi ulitembelewa na waziri mdogo Mambo ya Ndani Masauni.
Kwa spidi ya utekelezaji wa mradi TBA itawachukua miska 12 kukamilisha kaxi, leo ni mwska wa 3-4 toka kazi ianze.
Lakini ngoja kidogo mzee, mh Rais.
Si tulikutonya hapa JF na kwingineko mitandaoni?
Ile ilikuwa early warning
TBA sio mkandarasi, ni wakala wa nyumba za serikali , na tulijua hilo wslitambua vema, maana si mgeni Wizara ya Ujenzi.
WAKALA TBA kazi yake ku manage masuala ya nyumba za serikali, si kujenga.
Vituko vilianza na mabweni ya chuo kikuu Mlimani.
Sitaonhelea pesa ndogo kiduchu zinazosemekana kutumika, lakini ni wazi kazi ilikuwa chini ya viwango
Mwanafunzi aliyelalsmika mitandaoni juu ua kupasuka kuta, aliwekwa ndani, lakini si kwa amri yako ni wale wssiotaka kukutonya ukweli.
Mawaxo ysngu mzee, TBA wsrudi kwenye kaxi yao ya Uwakala, kazi za Ujenzi wawaachie wabobezi, Makandarasi.
Hahahaha!kuna MTU kaita magueconomics!Bandiko la hovyo sana mleta mada anatumia x badala ya s
Kitengo kile ndani ya TBA ni cha ku repear nyumba za serikali ,si ujenzinkama kandarasi.Usichanganye jina, yeye hakukurupuka. Anajua muundo wa hiyo taasisi kuwa ina kitengo cha ujenzi. Ishu ni kwamba hawana uwezo.
Mkuu nina uhakika wewe ndo una uelewa wa hovyo sana.Bandiko la hovyo sana mleta mada anatumia x badala ya s
kusajiliwa si kigezo cha utendaji.TBA pamoja na kuwa ni Wakala wa Majengo ya Serikali pia.ni Consultant na Mkandarasi. TBA imesajiliwa na ERB na AQRB kama Consultant na pia ni CRB kama Mkandarasi.
Wawezeshwe kwa vifaa, pesa na staffing tu. Pesa ya ujenzi iwe realistic tu na wasisahau kuhusu motisha kwa watumishi husiki, waondolewe ile TGS kama wenzao wa wakala wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
nasoma sana jf ni nadra sana kukutana na madini kama haya.Jana mh. Rais kaja juu.
Idara yake penzi ya TBA inasuasua.
Huko Magereza Ukonga ligwaride la ujenzi wa nyumba unaenda kwa mwendo wa kinyonga!
TBA walipewa, CASH, bilioni 20 kujenga nyumba za wana Magereza mwaka 2016, mpaka sasa mradi umefikia 35% ya maendeleo.
Mradi majuzi ulitembelewa na waziri mdogo Mambo ya Ndani, ndg Masauni.
Kwa spidi ya utekelezaji wa mradi TBA itawachukua miaka 12 kukamilisha kazi, leo ni mwaka wa 3-4 toka kazi ianze.
Lakini ngoja kidogo mzee, mh Rais.
Si tulikutonya hapa JF na kwingineko mitandaoni?
Ile ilikuwa early warning.
TBA sio mkandarasi, ni wakala wa nyumba za serikali , na tulijua hilo walitambua vema, maana si mgeni Wizara ya Ujenzi.
WAKALA TBA kazi yake ku manage masuala ya nyumba za serikali, si kujenga.
Vituko vilianza na mabweni ya chuo kikuu Mlimani.
Sitaongelea pesa ndogo kiduchu zinazosemekana kutumika, lakini ni wazi , kazi ilikuwa chini ya viwango
Mwanafunzi aliyelalamika mitandaoni juu ya kupasuka kuta, aliwekwa ndani, lakini si kwa amri yako , ni wale wapambe wasiotaka kukutonya ukweli.
Na kwa kweli hawakutakii mema.
Mawazo yangu mzee, TBA warudi kwenye kazi yao ya Uwakala wa nyumba za serikali, kazi za Ujenzi wawaachie wabobezi, Makandarasi.