Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,726
....huyu ndie federick mpendazoe..akiwa mkurugenzi wa NEMC alitumika kama kikaragosi cha kuyachapa fimbo makampuni yaliyokuwa na ugomvi na mwenyekiti wake....
...akiwa pale NEMC ilikuwa kama vile uchafuzi wa mazingira nchi hii unafanyika karibu textiles peke yake...ukilala karibu, ukiamka karibu... na tv zinaporomosha!!
...akiwa NEMC kwa kuwa busy na makampuni adui hasi akasahau kupitia vema environmental impact assessment kwenye makampuni mengine kama Barrick na mengineyo hadi yakafunguliwa bila kuwa na mabwawa ya kuchuja adhari za zebaki kwenye maji kabla ya kuyaingiza kwenye mito......unaweza kufikiri ni jambo dogo ....lakini watu wamekufa na kupata ulemavu huko mara na kwenye migodi mingine ... kwa kuwa Frederick Mpendazoe alilala usingizi na NEMC yake ....
..viwanda vingi mijini kwa vijijiini vinatiririsha maji machafu havichukuliwi hatua .....tu waliochukuliwa hatua ni karibu kwa kuwa ni adui wa mwenyekiti wake.....
...hata yeye na mwenyekiti wake walipoondolewa NEMC kwa kuonekana wazi kuwa biased kwenye maamuzi yao .....hajaacha kuwa houseboy wake hadi leo...na kuendelea kuwakilisha mawazo ya bosi wake bungeni badala ya utashi wake binafsi na zaidi wa wapiga kura wake!!!!
...tupinge ufisadi kwa dhati ..lakini kamwe tusisukumwe na chuki binafsi!!!
Rwabugiri,Nina wasi wasi pia kilicho kusukuma wewe kuandika yote haya!
CHADEMA mnaanza kuboa sasa
Rwabugiri,
Haya ni mawazo ya Zitto kwa msukumo wa Rostam. Hivi ubaya wa Mpendazoe ni kumgusa Mkapa? Mbona kabla hajaongea mlikuwa hamjasema lolote juu yake Mpendazoe? Mwakyembe kakaa kimya sasa, akiongea lazima naye atakuwa anaongea ya kutumwa na mangi sio?
Mnaanza kuboa sasa
Ba Enock,Tina,
Hapa sijaelewa nani ni nani? Naomba ufafanuzi please.
PM anaelewa namaanisha nini kumuunganisha na Zitto. Itabidi wabunge wakae kimya wasiwaguse watu kama Mkapa ili wasije wakachafuliwa ama kuhusishwa na mangi.Mkuu, Tina hii mbona sijaipata? fafanua basi labda twaweza unganisha dots. Make hapa mleta mada kaongelea huyo mpendazoe alivo na chuki binafsi na kumtumikia Mengi hadi bungeni. Mimi nilipatwa na wasi wasi kwamba huenda nayeye ni chuki binafsi ndo ilimsukuma kuandika yote haya ama naye anamtumikia mtu wake. Sasa hii ya Zitto kusukumwa na RA inahusikaje hapa?
Okay PM, sasa kwanini umeanzisha mjadala huu wakati huu?acheni speculations ..hit the road..hypothesis..and reasons!!!
....mimi always huandika kama mimi...na mwenendo wa huyu bwana tangu NEMC upo...!
acheni speculations ..hit the road..hypothesis..and reasons!!!
....mimi always huandika kama mimi...na mwenendo wa huyu bwana tangu NEMC upo...!
Okay PM, sasa kwanini umeanzisha mjadala huu wakati huu?
Rwabugiri,
Haya ni mawazo ya Zitto kwa msukumo wa Rostam. Hivi ubaya wa Mpendazoe ni kumgusa Mkapa? Mbona kabla hajaongea mlikuwa hamjasema lolote juu yake Mpendazoe? Mwakyembe kakaa kimya sasa, akiongea lazima naye atakuwa anaongea ya kutumwa na mangi sio?
Mnaanza kuboa sasa
Mwenyewe ndo maana nikaona niulize ili kuweka mambo sawa...Tina na PM, kama hamtaki tujue mnayo yajua kwanini myalete hapa jamvini?
Kuna mengi naamini mkuu unayo juu ya jamaa hawa, binafsi ndiyo kwanza najua Mpendazoe alikuwa NEMC pia...nataka tufanye insight ya huyu jamaa tatujapata kumuweka kwenye vipimo vyetu...mwisho tuta conclude ni mtu wa aina gani....mimi kama mimi kwa mawazo yangu na vyanzo vyangu vya tangu zamani na sasa ...nimechokoza hoja kwa kueleza niliyoeleza....uwanja upo wazi...lets hit the road!!!
Lazima tutofautiane katika hoja mkuu... Mi siamini kama mtu anapokuja na hoja lazima uwe ndio mtizamo wake tu, anaweza kuwa anawakilisha mawazo ya watu elfu nyuma yake...Tumwombee Bw. Phillemon ili mungu amnusuru atoke gizani aje kwenye nuru angavu na kikubwa na kuondokana na utumwa wa kutumikia fikra za kifisadi.
Tumwombee Bw. Phillemon ili mungu amnusuru atoke gizani aje kwenye nuru angavu na kikubwa na kuondokana na utumwa wa kutumikia fikra za kifisadi.
..inshaaalah!!!.... amina!!
lakini mjuwe huyu jamaa anao upupu mwingi tu aliacha pale nemc...alipojeuza nemc [akiwa mkurugenzi]...na mwenzake akiwa ..mwenyekiti wa bodi kuwa chombo cha kuwapiga fimbo adui za mwenyekiti na kusahau kuwa tanzania ni kubwa ..na kipindi hicho migodi inaaaza ..alitakiwa ajibu hawakufanya environmental imopact assessment na leo hii watu wanakufa huko.......kama ni wrong doing za nyuma na pia si hizo ni zake???...
siku hizi kila anayepiga vita ufisadi hataki kuambiwa makosa yake ??..huwezi kuwa malaika ghafla kwa kupiga vita ufisadi......au huwezi kupiga vita ufisadi kwa kuchagua wa kumpinga na wengine ...kuwaacha ..thats a dare mistake inafanywa sasa ....kuna mafisadi wanaanikwa na wengine ..wanaachwa...nadhani inapasa wote ikwemo hawa ...waliokuwa wakila pesa za watu ili wafunge viwanda vywa wenzao!
Why mkuu?Kuna mtu kaiba password ya Philemon Michael....