Utendaji mbovu kazini

Utendaji mbovu kazini

Mauna RATA

Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
13
Reaction score
0
Kwa uchunguzi mdogo niliofuatilia naanza kuona watumishi wa umma wakifanya kazi chini ya kiwango kutokana na haya yafuatayo..
1:watumishi wengi wamekata tamaa kufanya kazi kutokana na kutokua na uhakika wa kuwepo kazini(kutumbuliwa anytime)
2:nyongeza ya mshahara ya kila mwaka mwezi wa 7,hii imeathiri maisha japo kuwa huwa ni ndogo sana lakn kipya kinyemi
Hali hii imechangia watu kuwa na nidhamu ya uoga makazini kwao... Wapi lakini hawapo...
#my take..... Ahadi za kuomba uhakiki uwe umekamilika ndani ya mie 2 kama alivyoomba mkuu wa kaya... Umepitiliza, waliokaribu nae wamuambie ufanisi unazidi kupungua...
 
Back
Top Bottom