UTEJA WA VITABU

Septem

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2018
Posts
313
Reaction score
404
Nairudia tena hii yake mwijage, bado natamani kupata insight ya kilichomsibu yeye na 'Mwalimu',. Nakisoma tena. Tujatibu kubadilishana mawazo, wale wanaoshangazwa na 'haya ya awamu ya 5', tujikumbushe since 1960s sio mageni kwa 'wengine'.
 
Hahaha.Mwijage anakwambia Sheikh Yahya alikuwa agent wa serikali. Anajifanya kutabiria watu, kumbe anachukua data na kupeleka serikalini.
 
Hahaha.Mwijage anakwambia Sheikh Yahya alikuwa agent wa serikali. Anajifanya kutabiria watu, kumbe anachukua data na kupeleka serikalini.
Kabla ya Shein kuchaguliwa kuwa makamu wa Rais alitabiri kuwa makamu wa rais atakuwa mweupe na sura ya mviringo. Niliona jamaa bonge la mtabiri kumbe ni mtu wa kitengo. Watu wa dizaini hii ni hatari sana. Anaweza kumtabiria mtu kifo kumbe wameshamtarget.
 
Tuwekeeni hapa soft copy ili tuweze kuchangia.Otherwise, tutakuwa tunapiga porojo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…