Cute little thing. . . katoto mpaka kanajali hisia/mahitaji na matakwa ya watu wengine?I'm impressed.Kungekua na watu wengi waliojengeka hivyo matatizo mengi sana yanayosababishwa na ubinafsi yangepungua kama sio kuisha.NK, i lov the lil boy! Aki-admire kitu ukamuambia just take it anasema hapana, u have it. I can't just take it coz u also deserve good things. What a character! Kuna watu wabinafsi wanajiskia kama hustahiki kitu ulichonacho japo u earned it!
Lizzy,nikujibu kuhusu ulemavu na elimu! Banaa,mi nikiona albino ama mkaka ana mkono mmoja anauza anything nisichokitaka kwenye foleni, huwa nampa buku! Hata sihitaji kupeleka mazagazaga kwangu, na namuambia wazi kua nampa soda kwa kujituma! Wale wamama walemavu wanaosota na foleni kutwa wakiomba, ingekuaje wangekua wanatembeza urembo ama vitabu vya watoto? Wouldn't u buy hata for friends ili kuwaungisha! Kama umejikuta stranded mjini ama ulaya, ungeweza kufagia McDonald's na kupata mshiko,kwanini uangalie white collar jobs wakati huna collar! Utegemezi ni tabia,the only reason mtu ambae sio tegemezi ataomba ni chakula na matibabu tuu! Hata kuomba vocha ni utegemezi!
Tatizo a lot of blackmail,intimidation,threats inakuwa involved.Its really tormenting kwa victims wa abuse ya aina hii,wengine mpaka wanakuwa watu wazima na watoto wakubwa wakiwa bado kwenye utumwa/utegemezi huu.Tatizo hawa ma control freaks huwa hawako conscious na jinsi wanavyoharibu maisha ya wenzao,wao wanajionea sawa tu,mifano ya namna hii hii ni mingi tu yaani hasa kinababa/mama matajiri.Hata bongo twawajua ila si vizuri kuwataja jf.Heheheheh Bishanga asante kwakuongelea hili.
Nna ndugu yangu mwenye tabia hiyo. . . . ndugu wengine bado wapo kwenye mtego wake na wengine wamefanikiwa kujinasua. Kwahiyo inawezekana mtu kujitoa kwenye utegemezi wa kulazimishwa ikiwa YEYE MWENYEWE ATATAKA KUTOKA. . . kila mtu yupo kwenye nafasi ya kua vile apendavyo . . . ni kiasi tu cha kuwa jasiri na kujituma.
Tatizo a lot of blackmail,intimidation,threats inakuwa involved.Its really tormenting kwa victims wa abuse ya aina hii,wengine mpaka wanakuwa watu wazima na watoto wakubwa wakiwa bado kwenye utumwa/utegemezi huu.Tatizo hawa ma control freaks huwa hawako conscious na jinsi wanavyoharibu maisha ya wenzao,wao wanajionea sawa tu,mifano ya namna hii hii ni mingi tu yaani hasa kinababa/mama matajiri.Hata bongo twawajua ila si vizuri kuwataja jf.
in which case you will have to be prepared to pay the cost,na victims wengine ujue huwa wana commit suicide,hujawahi sikia watoto kibao wa matajiri wanajiua? Mbona hata bongo yanatokea,again nasema out of respect kwa jf rules siwezi kutoa mifano hai.Bishanga bana. . . mimi siwezi kukubali kwamba hawa watu ni victim ila wanajivictimise.Nasema hivyo kwasababu nimeona walioweza kuondokana na hiyo hali pamoja na kwamba hawajasoma sana. Ni kiasi cha mtu kuamua kwamba hataki. . . .
Mifano sio lazima maana tunajua ipo.in which case you will have to be prepared to pay the cost,na victims wengine ujue huwa wana commit suicide,hujawahi sikia watoto kibao wa matajiri wanajiua? Mbona hata bongo yanatokea,again nasema out of respect kwa jf rules siwezi kutoa mifano hai.
tatizo ma control freaks wengi ni ma genius na ndo maana wana mafanikio waliyonayo,pia ni wajanja wa kusoma situations hivyo mtu akianza tu kuonyesha dalili za kujikomboa wana clamp on haraka sana.we acha tu usiombe kuwa na mtu wa aina hii katika familia yako.Mifano sio lazima maana tunajua ipo.
Yes maisha ya aina hiyo yanaweza kumpelekea mtu kuwa depressed na kumfanya aone maisha ya hayana maana. Mpaka mtu afikie hali hiyo inamaana amelea hilo swala mpaka limemzidi nguvu. . . siwezi kuwalaumu maana kujitoa huko kunahitaji ujasiri ambao sio kila mtu anao ila inawezekana.Badala ya mtu kuendelea kulea ugonjwa ni vizuri akatafuta msaada/namna ya kujinasua.
Those are just excuses and nothing else.tatizo ma control freaks wengi ni ma genius na ndo maana wana mafanikio waliyonayo,pia ni wajanja wa kusoma situations hivyo mtu akianza tu kuonyesha dalili za kujikomboa wana clamp on haraka sana.we acha tu usiombe kuwa na mtu wa aina hii katika familia yako.
We kakondoo. . . .mama mchungaji is seing nyota nyota.
Hehehhe sasa naona mbalamwezi. . .
Yani right on point.Thanks kakondoo.
Kakondoo huo mzigo hausaidiki nikubebee kidogo?we acha tu mama mchungaji, yaani kila dakika inapoanza kakondoo huwa kanafikiria dakika ijayo katakuwa wapi?? Ngoja kaufikishe angalau step 1 tu huu mzigo unaokapunguzia energy kakondoo ili kaongeze kasi zaidi!! LOL
Kakondoo huo mzigo hausaidiki nikubebee kidogo?
Hahahaha. . . . Eiyer asante kwa kunifurahisha. . . sikua nimefikiria huko kote ila naona wewe umefikiria mbali zaidi.Nimeipenda sana hii,japokuwa hili somo ni pana sana kwa hayo inatosha,Utegemezi kwenye jamii yetu umekua mbaya na umeenda mpaka serikalini.Leo hatuwezi kuamua mpaka Washngton au London watuamulie mwishowe watatuamulia namna ya kulala na wake zetu!Ushenzi gani huu!Asante kwa kutoa angalau huduma ya kwanza kwenye hili janga!