Utaziona Afrika pekee!

Huyu Baba aliyetundika mobile phone kwenye sikio lake, natumaini anafahamu adhari ya radiation na itakuwa imezimwa. Vinginevyo anajitayarishia brain-tumor kwa tabasamu lake hilo!!!!
 
hii haina ubishi 100% ni Africa ndipo mambo haya na utalii huu waweza kupatikana..
 
huyo sidhani kama hata anajua kama kuna brain tumor duniani
 
huyo mama na hizo ndala klifuani......... kweli ni afrika pekee utaweza kushuhudia haya
 
Yaani jamaa wanaford vaio! ONLY IN AFRICA BANA
 
Hiyo picha ya VAIO inaonyesha kabisa si AFRICA kama Africa ni nchi ipi? kwa mimi inaonyesha kama ni moja ya visiwa vya Pacific, nadhani ni Mauru hiyo kama si Vanuatu.
 
Huyu Baba aliyetundika mobile phone kwenye sikio lake, natumaini anafahamu adhari ya radiation na itakuwa imezimwa. Vinginevyo anajitayarishia brain-tumor kwa tabasamu lake hilo!!!!

Hapo umenena mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…