Hilo chawa halijulikani popote. Anaponzwa na msoga gang.Lucas mwashambwa ndiye anamzika kabisa Samia!
Wazee wa kububujikaKwako Lucas 😂
Hata hamweleweki.Rais Samia kila akigusa mahali pa moto sasa analazimika kutumia wapambe wa Magufuli kujaribu kuimarisha utawala wake lakini mambo bado Moto.
Hivi Rais Samia anashindwa vipi kuwa na timu yake fresh ambayo ataimudu na watamuheshimu. Kuendelea kutumia timu ya Magufuli ni kujizika kwake mwenyewe kwani wanafahamu fika kuwa anataka kuwatumia kupata uungwaji mkono kwa wananchi.
Sisi wananchi hatudanganyiki kwani tunafahamu vizuri timu Magufuli kuwa ni majambazi, wauwaji na pia mafisadi kwa mgongo wa kutupamba kutuita wanyonge! Sisi siyo wanyonge bali tunanyongeshwa, tunatekwa, tunauawa ili kutuziba midomo.
Sasa Rais Samia amebaki akibadilisha timu yake kila kukicha kitu kinachowavunja moyo wale wachache ambao wangeweza kumsaidia.
HATUDANGANYIKI!
Hata hawajui wanataka nnYeye kafanya hivyo na anateua akiamini Yuko vema, hao unaotaka wewe, teua wewe na uunde na Baraza la mawaziri wa kwako
Akapata akina Sabaya, Makonda, Gambo et al.
Hakuna kitu kigumu kama kupata watu wa kuwaamini na kuwatumainia katika nchi ya watu wasio na msimamo na wanafiki kama Tanzania.
Magufuli aliwapata baadhi kwakuwa aliwatoa huko mbali na akawaingiza kwenye chama(ulaji) yeye mwenyewe. Lakini pia aliwapata kwakuwa alikuwa haongei mara mbili, hakucheka na kima.
Hana ubavu wa kuteua watu wake na akithubutu atashughulikiwa uchaguzi Mkuu!Yeye kafanya hivyo na anateua akiamini Yuko vema, hao unaotaka wewe, teua wewe na uunde na Baraza la mawaziri wa kwako
Akapata akina Sabaya, Makonda, Gambo et al.
SahihiBashiru, Polepole, Kabudi, PM wa sasa kumbuka alikuwa Naibu waziri tu na hakuna aliyetegemea kama angekuwa Waziri mkuu.
Bashiru alipewa chama kabisa, sasa mtu ambae kwanza wala hakuwa Mwanaccm(kama inavyodaiwa) ukampa chama aongoze unadhani anaweza kukusaliti? Wanachama wote wakongwe wanamuona kama mtu asiyestahili kuwa KM wa chama, sasa akikusaliti wewe atabaki na nani?
Kwako wewe Kalemani ndiye timu Magufuli? Mtu ambaye kwao anadharaulika ana ushawishi gani?Hata hamweleweki.
Akiwaacha watu wenu mnanuna.
Akiwatumia eti kafilisika.
Ameachwa Kaleman tu hapa mnaugulia mpk leo.
Sasa Mama piga chini SG wote tuone mtakuja vipi tena