Utawala wa Magufuli na maandishi Ukutani mwaka 2020

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,697
9,048
Daniel reads the words "MENE, MENE, TEKEL, UPHARSIN" and interprets them for the king: "MENE, God has numbered the days of your kingdom and brought it to an end; TEKEL, you have been weighed ... and found wanting;" and "PERES, your kingdom is divided and given to the Medes and Persians.

Haya ni maandiko yanapatikana katika Biblia Takatifu Kitabu cha DANIEL SURA YA 5.
Haya yanajulikana kama MAANDISHI UKUTANI enzi za Utawala wa Mfalme BELSHAZAR wakati wa karamu kwenye Ikulu yake. Maandishi hayo yaliandikwa kwenye ukuta na MKONO ambao inaaminika ulikuwa ni wa Mungu maana aliyekuwa akinadika hakuonekana isipokuwa mkono peke yake!!

Mungu alichukizwa na Utawala wa Mfalme Belshazar baada ya kulewa na mvinyo(MADARAKA)alianza kujiinua na kujikweza kuliko Wafalme wote waliopita akiwemo Babake mzazi Mfalme Nebukadneza. Kwa kibri aliagiza vifaa vya hekaluni viletwe kwenye karamu ili vitumike kunywea mvinyo na Mungu hakupendezwa na jambo hilo.

Utawala huo wa Belshaza bin Nebukadneza unaweza kulinganishwa kwa kila hali na Utawala huu wa Rais John Joseph Pombe Magufuli. Rais huyu amejikweza na kujiinua sana kiasi cha kukiuka Katiba na kubatiisha SHERIA, KANUNI na TARATIBU za kusimamia na kuongoza nchi kana kwamba yeye ndiyo KATIBA, SHERIA na KANUNI za nji hii. Amekuwa akitengeneza mazingira ya uvunjaji wa Katiba na baadaye kutunga SHERIA na KANUNI ili kufanikisha ulevi wake wa Madaraka.

Magufuli alipoingia tu Ikulu akazuia mikutano yote halali ya vyama vya saisa kwa kisingizio cha kaulimbiu ya HAPA KAZI TU! Kwamba kauli mbiu yake ikawa ndiyo SHERIA!!Kulingana na utendaji wa kazi za kiserikali kiongozi yoyote haruhusiwi kutunga/kuunda sheria ambayoinakiuka KATIBA AMBAYO NI SHERIA MAMA. Baada ya Kelele za vyama vya siasa(UPINZANI) kupinga amri hizo za kibabe na kidikteta kuwa zinakiuka Katiba, Magufuli ameamua kutengeza SHERIA/KANUNI rasmi ili ziingie kwenye sheria za Tanzania ili aweze kuwabana WAPINZANI vizuri zaidi.

Ushahidi ni Muswada wa SHERIA YA VYAMA VYA SIASA uliosomwa kwa mara ya kwanza mwezi uliopita wenye MAUDHUI ya kutaka kuvisambaratisha na kuviua kabisa vyama vya Siasa/Upinzani.
Kwamba MSAJILI/MLEZI wa vyama anaenda kupewa Mamlaka makubwa kabisa ya kufuta,fungia chama chochote cha siasa kwa amri yake tu. Ikumbukwe kwamba Msaji ni Mteule wa Rais Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM..!!! Sheria hii OVU inakwenda mbali zaidi kwa Msajili kutoa amri kwa vyama vyote vya siasa(isipokuwa CCM)kumfukuza/kumkataa/kumzuia mwanachama yeyote kujiunga na chama kingine..!! Katika sheria hii Msajili pia ana mamlaka ya kukataa au kukubali AINA ya MAFUNZO ambayo chama kitataka kuyaendesha ndani ya chama.

Lengo hapa ni kudhibiti vyama vya siasa ili ifikapo mwaka 2020 kabla ya Uchaguzi Mkuu kusiwe na chama chochote tishio kwa CCM ya Magufuli. Lakini hapo hapo Magufuli kwa kiburi chake amekwenda mbali zaidi kwa KUTAKA KUWADHIBITI hata wana CCM waliko ndani ya chama hasa wale ambao wanaelekea kuwa na USHAWISHI ndani ya CCM kiasi cha kutishia kumwondoa Magufuli baada ya miaka 5.Inaelekea Magufuli hataki kusikia hiyo habari mbaya kuwa kuna wana CCM wana mipango ya kumzuia Magufuli asimalizie miaka yake 5 ya mwisho kwasababu ya UTAWALA wake wa kilevi ambao tayari umneanza kukipasua chama TAWALA.

Kadri mwaka 2020 unavokaribia hali ndani ya CCM inazidi kuwa tete na yenye mashaka makubwa. Kuna kila mbinu zimeanzishwa kutaka kuwanyamzisha wale wote wanaoonekana kuwa kinyume na Magufuli na wengi ni WALE WALIOMSAIDIA MAGUFULI KUINGIA KWENYE URAHISI HUU. Lakini kwasababu ya ulevi tu yale yote ambayo MAKADA wa CCM walimtendea Magufuli ili kumwenzesha aingie IKULU amewageuka na wengi wao keshawaondoa kwenye nafasi muhimu alizowapa kama Uwaziri na Nafasi zingie nyeti ili tu kuwapunguza nguvu zao ndani ya CCM. Bila shaka kinachofuata ni KUWATIMUA ndai ya Chama ili wasimsumbue. Angalia kinachoendelea kati ya Bashiru na Bernad Membe, Nnape Nauye,Mwigulu Nchemba,Abdurhaman Kinana,Pius Msekwa Yusufu Makamba na wengineo. Magufuli kwa kutumia ujanja wa kipaza sauti cha CYPRIAN MUSIBA ili kuficha sura yawa kuwatisha viongozi hao wasifurukute au wabadilike.

Haya yote ni MAANDIKO UKUTANI kwa CCM hii. Very soon Daniel atajitokeza kuwapa Watanzania maana yake na hatima ya Utawala huu kama ilivokuwa kwa Mfalme Belshaza ambaye UTAWALA/UFALME wake Mungu alikuwa amehasabu siku za UTAWALA. na AMEUPIMA na kuamua kuufikisha MWISHO kwa mkono wa Mungu baada ya Mfalme kuonesha ULEVI, KIBRI, JEURI, DHARAU na KEJELI kwa Wananchi waliomchagua/ambao hawakumchagua. HISTORIA siku zote hujirudia. Kinacho fuata kwa CCM kabla ya 2020 kinafurahisha. Watanzania just stay tuned!
 
Vip umeandika mabaya tu Hakuna zuri hata moja alilofanya. Kwann mazuri. Democracy ni pana.
 
Mtoa mada...Hahahah kazi unayo bado 7r..tulia hvyo hvyo dawa ikuingie upone

Wewe endelea kujifariji na kujiliwaza tu. Lakini uhalisia unonekana na kila mtu mwenye akili timamu anaona kabisa CCM inaenda kumfia Magufuli mikononi mwake!!!
Baba wa Taifa aliwahi kubashiri:UPINZANI IMARA UTATOKA NDANI YA CCM...!!Maanake ni strong CCM cadres kuhamia UPINZANI iwe ni CHADEMA, CUF, ACT-Wazalendo n.k. Mfano hai ni LOWASSA 2015, kama siyo hujuma, njama na kubebwa na NEC ya CCM Magufuli angeliisikia Ikulu kwene bomba. Ogopa sana upinzani wa ndani kwa ndani kama unaojitokeza kwa sasa ndani ya CCM.Mbaya zaidi Magufuli anataka kuwashughulikia MAKADA WATU WENYE CHAMA wakti Magufuli hana UKADA ndani ya CCM zaidi ya kubebwa...!!!Leo watu waliokubeba unaanza kuwabeza na kuwatimua.....Anachofanya Magufuli ni sawa na mpangaji kutaka kumfukuza mwenye nyumba..!!Hakika ni jambo lisilowezekana!
 
Vip umeandika mabaya tu Hakuna zuri hata moja alilofanya. Kwann mazuri. Democracy ni pana.

Hivi wewe hujui kuwa hata ukifanya mema 100 lakini ikitokea ukafanya moja baya hilo ndo litakuondoa aidha kwa kifo,jela au kufukuzwa kazi. Chukua mfano wa mtu aliyefanya kosa la JINAI......Ukikamatwa na kupelekwa mbele ya Pilato hata kuuliza mema uliyofanya ili usipelekwe Gerezani!!!.
Magufuli hawezi kudhulumu HAKI ZA WATANZANIA kwa kujificha nyuma ya KUDAI ANAPAMBANA NA RUSHWA/UFISADI!
Ukirudi kwene maandiko matakatifu kuna AMRI 10 za Mungu, lakini ikitokea ukavunja moja ya KUUA(USIUE) au KUZINI(Usizini) basi wewe umeharibu zote na Mungu hatakusamehe kwasababu zile 8 au 9 umefanya sahihi...Never!
 
Hata Fatma karume kawaonya CCM kuhusu huu mswaada kwamba utatumika kuwabana hata wao katika chama chao iwapo utapitishwa na baade kuwa sheria.

Hawa CCM ni mazwazwa sana. They do think to be safe simply because they've got all the power(CHAMA TWAWALA). Kwa vile Mwenyekiti wao ni RAIS, ndiye anayeteau kila kitu kama M/Kiti na Mkurugenzi wa TUME YA UCHAGUZI, IGP, CDF, WASIMAMIZI WA UCHAGUZI basi hakuna atakaye wagusa.
Kuna Fredrick Chiluba(rip) aliyekuwa Rais wa zamani wa Zambia alitunga sheria za kihunihuni baada ya kuukwaa Urahisi lakini alipomaliza kipindi chake akashangaa SHERIA ZILEZILE ALIZOKUWA AMEZITUNGA ZIKAMGEUKA....Hawa watawala wa Kiafrika wamejaa ujuha na uzezeta wa kiwango cha lami..!
 
Kwa ufupi ukipita hamna chama cha siasa cha upinzani kitaweza fanya shughuli zake na kufanikiwa, ni sawa sawa na referee kuwa mchezaji, kila mara mkifunga anajipa penalty kusawazisha, au anakataa goal, kazi ipo ! Poleni sana vyama vya upinzani!!
 
mzee upo jikoni? Naona unafurahia tu ujio wa miaka 7, you must be a beneficiary

Manelezo,
Huyu zwazwa hata kama anafurahia kuwa jikoni, Katiba inasema kipindi cha U-Rais ni miaka 5 tu. Hiyo miaka mingine 5 siyo AUTOMATIC na ndo maana tutafanya Uchaguzi Mkuu 2020..!!
 
Hawa CCM ni mazwazwa sana. They do think to be safe simply because they've got all the power(CHAMA TWAWALA). Kwa vile Mwenyekiti wao ni RAIS, ndiye anayeteau kila kitu kama M/Kiti na Mkurugenzi wa TUME YA UCHAGUZI, IGP, CDF, WASIMAMIZI WA UCHAGUZI basi hakuna atakaye wagusa.
Kuna Fredrick Chiluba(rip) aliyekuwa Rais wa zamani wa Zambia alitunga sheria za kihunihuni baada ya kuukwaa Urahisi lakini alipomaliza kipindi chake akashangaa SHERIA ZILEZILE ALIZOKUWA AMEZITUNGA ZIKAMGEUKA....Hawa watawala wa Kiafrika wamejaa ujuha na uzezeta wa kiwango cha lami..!
Your English is very poor. Your Kiswahili is very good. Conclusion- andika kwa Kiswahili kaka. Ila mmmm 'analysis' yako ni kama ya mtoto wa darasa la kwanza.
 
Daniel reads the words "MENE, MENE, TEKEL, UPHARSIN" and interprets them for the king: "MENE, God has numbered the days of your kingdom and brought it to an end; TEKEL, you have been weighed ... and found wanting;" and "PERES, your kingdom is divided and given to the Medes and Persians.

Haya ni maandiko yanapatikana katika Biblia Takatifu Kitabu cha DANIEL SURA YA 5.
Haya yanajulikana kama MAANDISHI UKUTANI enzi za Utawala wa Mfalme BELSHAZAR wakati wa karamu kwenye Ikulu yake. Maandishi hayo yaliandikwa kwenye ukuta na MKONO ambao inaaminika ulikuwa ni wa Mungu maana aliyekuwa akinadika hakuonekana isipokuwa mkono peke yake!!

Mungu alichukizwa na Utawala wa Mfalme Belshazar baada ya kulewa na mvinyo(MADARAKA)alianza kujiinua na kujikweza kuliko Wafalme wote waliopita akiwemo Babake mzazi Mfalme Nebukadneza. Kwa kibri aliagiza vifaa vya hekaluni viletwe kwenye karamu ili vitumike kunywea mvinyo na Mungu hakupendezwa na jambo hilo.

Utawala huo wa Belshaza bin Nebukadneza unaweza kulinganishwa kwa kila hali na Utawala huu wa Rais John Joseph Pombe Magufuli. Rais huyu amejikweza na kujiinua sana kiasi cha kukiuka Katiba na kubatiisha SHERIA, KANUNI na TARATIBU za kusimamia na kuongoza nchi kana kwamba yeye ndiyo KATIBA, SHERIA na KANUNI za nji hii. Amekuwa akitengeneza mazingira ya uvunjaji wa Katiba na baadaye kutunga SHERIA na KANUNI ili kufanikisha ulevi wake wa Madaraka.

Magufuli alipoingia tu Ikulu akazuia mikutano yote halali ya vyama vya saisa kwa kisingizio cha kaulimbiu ya HAPA KAZI TU! Kwamba kauli mbiu yake ikawa ndiyo SHERIA!!Kulingana na utendaji wa kazi za kiserikali kiongozi yoyote haruhusiwi kutunga/kuunda sheria ambayoinakiuka KATIBA AMBAYO NI SHERIA MAMA. Baada ya Kelele za vyama vya siasa(UPINZANI) kupinga amri hizo za kibabe na kidikteta kuwa zinakiuka Katiba, Magufuli ameamua kutengeza SHERIA/KANUNI rasmi ili ziingie kwenye sheria za Tanzania ili aweze kuwabana WAPINZANI vizuri zaidi.

Ushahidi ni Muswada wa SHERIA YA VYAMA VYA SIASA uliosomwa kwa mara ya kwanza mwezi uliopita wenye MAUDHUI ya kutaka kuvisambaratisha na kuviua kabisa vyama vya Siasa/Upinzani.
Kwamba MSAJILI/MLEZI wa vyama anaenda kupewa Mamlaka makubwa kabisa ya kufuta,fungia chama chochote cha siasa kwa amri yake tu. Ikumbukwe kwamba Msaji ni Mteule wa Rais Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM..!!! Sheria hii OVU inakwenda mbali zaidi kwa Msajili kutoa amri kwa vyama vyote vya siasa(isipokuwa CCM)kumfukuza/kumkataa/kumzuia mwanachama yeyote kujiunga na chama kingine..!! Katika sheria hii Msajili pia ana mamlaka ya kukataa au kukubali AINA ya MAFUNZO ambayo chama kitataka kuyaendesha ndani ya chama.

Lengo hapa ni kudhibiti vyama vya siasa ili ifikapo mwaka 2020 kabla ya Uchaguzi Mkuu kusiwe na chama chochote tishio kwa CCM ya Magufuli. Lakini hapo hapo Magufuli kwa kiburi chake amekwenda mbali zaidi kwa KUTAKA KUWADHIBITI hata wana CCM waliko ndani ya chama hasa wale ambao wanaelekea kuwa na USHAWISHI ndani ya CCM kiasi cha kutishia kumwondoa Magufuli baada ya miaka 5.Inaelekea Magufuli hataki kusikia hiyo habari mbaya kuwa kuna wana CCM wana mipango ya kumzuia Magufuli asimalizie miaka yake 5 ya mwisho kwasababu ya UTAWALA wake wa kilevi ambao tayari umneanza kukipasua chama TAWALA.

Kadri mwaka 2020 unavokaribia hali ndani ya CCM inazidi kuwa tete na yenye mashaka makubwa. Kuna kila mbinu zimeanzishwa kutaka kuwanyamzisha wale wote wanaoonekana kuwa kinyume na Magufuli na wengi ni WALE WALIOMSAIDIA MAGUFULI KUINGIA KWENYE URAHISI HUU. Lakini kwasababu ya ulevi tu yale yote ambayo MAKADA wa CCM walimtendea Magufuli ili kumwenzesha aingie IKULU amewageuka na wengi wao keshawaondoa kwenye nafasi muhimu alizowapa kama Uwaziri na Nafasi zingie nyeti ili tu kuwapunguza nguvu zao ndani ya CCM. Bila shaka kinachofuata ni KUWATIMUA ndai ya Chama ili wasimsumbue. Angalia kinachoendelea kati ya Bashiru na Bernad Membe, Nnape Nauye,Mwigulu Nchemba,Abdurhaman Kinana,Pius Msekwa Yusufu Makamba na wengineo. Magufuli kwa kutumia ujanja wa kipaza sauti cha CYPRIAN MUSIBA ili kuficha sura yake kwa kuwatisha viongozi hao wasifurukute au wabadilike.

Haya yote ni MAANDIKO UKUTANI kwa CCM hii. Very soon Daniel atajitokeza kuwapa Watanzania maana yake na hatima ya Utawala huu kama ilivokuwa kwa Mfalme Belshaza ambaye UTAWALA/UFALME wake Mungu alikuwa amehasabu muda wa UTAWALA. alikuwa AMEUPIMA na kuufiksha MWISHO kwa mkono wa Mungu baada ya kuonesha ULEVI, KIBRI, JEURI, DHARAU na KEJELI kwa Wananchi waliomchagua/hawakumchagua. HISTORIA siku zote hujirudia. Kinacho fuata kwa CCM kabla ya 2020 kinafurahisha. Watanzania just stay tuned!
Mungu sasa ameanza kusikia kilio chetu. Hakika CCM inaua nchi hii, ifike mahali itambue kuwa wananchi tumeichoka iache kulazmisha mambo.
 
Your English is very poor. Your Kiswahili is very good. Conclusion- andika kwa Kiswahili kaka. Ila mmmm 'analysis' yako ni kama ya mtoto wa darasa la kwanza.

Mugisher,
Your English is even poorer than mine...!!! I am a class '7 graduate from Primary schools enzi za Mwalimu.!!!
Your comment in regard to my 'analysis' is very shallow and of inferior quality. Can you please tell me your level of education?
Badala ya kujadili hoja unajadili lugha....Pambaf kabisa.....nyie ndo makanjanja mnao sumbua nji hii!!! Very likely umesoma elimu ya ngumbaru!!
 
Hawa CCM ni mazwazwa sana. They do think to be safe simply because they've got all the power(CHAMA TWAWALA). Kwa vile Mwenyekiti wao ni RAIS, ndiye anayeteau kila kitu kama M/Kiti na Mkurugenzi wa TUME YA UCHAGUZI, IGP, CDF, WASIMAMIZI WA UCHAGUZI basi hakuna atakaye wagusa.
Kuna Fredrick Chiluba(rip) aliyekuwa Rais wa zamani wa Zambia alitunga sheria za kihunihuni baada ya kuukwaa Urahisi lakini alipomaliza kipindi chake akashangaa SHERIA ZILEZILE ALIZOKUWA AMEZITUNGA ZIKAMGEUKA....Hawa watawala wa Kiafrika wamejaa ujuha na uzezeta wa kiwango cha lami..!
Mfano waku umeenda mbali sana, ni iaka mitatu tu au minne nyuma Lowasa,Sumaye,Nape walitete na kutunga sheria hizi za hovyo wakati huo wakijua wako salama.

Sheria zilezile zimemnyosha Lowasa na wahuni wenzie kwa sasa ni wapinzani joto lake wanalipata wanajikaza tu. Ni sheria walizotunga wakashiriki 100%.

Wakati meingine huwa nafurahi Ukawa kukosa urais2015 ulioporwa na CCM. Ili akina Lowasa, Apson na wahuni wengine waonje maumivu ya kile walichofanya nyuma.
 
Back
Top Bottom