Mi ni mgeni kidogo katika ufuatiliaji Wa kazi za serikali.Siku za karibuni walao nimejitahidi kufuatilia.Kila bunge likikaa lazima litajadili wizi unaofanywa kwenye wizara na idara mbalimbali za serikali.Mikataba mibovu as if wanaosaini mikataba si watanzania vile.Hivi hali Hii ni utawala Wa Mwinyi na Mkapa ulikuwa hivi hivi.Wezi wanalindwa sana CAG anafanya kazi take vizuri kwa kuumbua wezi