Utawala bora na wanasiasa wa Tanzania. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utawala bora na wanasiasa wa Tanzania.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by hittler, Jul 18, 2011.

 1. h

  hittler Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya utawala bora kama ambavyo wamekuwa wakisema viongozi mbalimbali wa serikali na chama tawala. Nijuavyo mimi utawala bora unafuatana na uwajibikaji, majukumu, uwazi na demokrasia. Je ingekuwa ni kweli tunafuata utawala bora swala la umeme lingepasua vichwa wabunge? Au Waziri Ngeleja na makamu wake wangeendelea kuwa madarakani ili hali nchi inaingia kwenye giza? Au ni utawala bora wakukingiana vifua?
   
Loading...