Kwa hiyo inasababisha moto usiingie kwenye Laptop?Betri hiyo imechanganya, inaelekea kufa. Ndiyo inaleta short (back-discharging)
Unatumia adapter gani? Unaweza kuipiga picha ukaiweka hapa? Kuna baadhi adapter zinaweza haziwezi kuchajisha betri ila kuwasha computer zinawasha safi na ukatumia lakini uwezo wa kujaza betri hazina lakini ni matatizo yanayoyokana na ampier tu hivo jaribu kubadilisha adapter uenda imechoka.
Sawa hiyo ni Adapter boss ndo inasababisha ayo yote, nunua adapter nyingine tu hayo ni makopo bos hamna adapter humo na usinunue kama hiyo tena
Sawa mkuu ninunue ya aina gani.Unatumia adapter gani? Unaweza kuipiga picha ukaiweka hapa? Kuna baadhi adapter zinaweza haziwezi kuchajisha betri ila kuwasha computer zinawasha safi na ukatumia lakini uwezo wa kujaza betri hazina lakini ni matatizo yanayoyokana na ampier tu hivo jaribu kubadilisha adapter uenda imechoka.
Sawa hiyo ni Adapter boss ndo inasababisha ayo yote, nunua adapter nyingine tu hayo ni makopo bos hamna adapter humo na usinunue kama hiyo tena
Inaleta msg kuwa "plug in not charging?"Nimebadilisha Adapter bado hali ipo vilevile
Sawa mkuu ninunue ya aina gani.
Manake hapa nimebadili charge mambo ni yale yale
Inaleta msg kuwa "plug in not charging?"
HizoNimebadilisha Adapter bado hali ipo vilevile
Sawa mkuu ninunue ya aina gani.
Manake hapa nimebadili charge mambo ni yale yale
Ukipeleka kasa kwenye betri huku ukiwa umeplug in adapter hamna msg inayoonyesha kuwa inaingiza moto lakini haichaji?Haileti msg yoyote.
Nimejaribu kutoa Battery, nikadiskonecti cmos Battery kisha nikabonyeza power Button kwa sekunde 30.
Kisha nikajaribu kuwasha hali ikawa vile vile.
Sasa ni lazima niamue niwashe kwa kutumia adapter peke yake au Battery peke. Na battery imebakiza chaji kidogo
Haioneshi kitu.Ukipeleka kasa kwenye betri huku ukiwa umeplug in adapter hamna msg inayoonyesha kuwa inaingiza moto lakini haichaji?
Charger ndio ya muda wote naitumia.Hiyo chaji umekuwa ukiitumia muda wote kabla ya hilo tatizo?
Kama jibu ni ndiyo, basi tatizo litakuwa kwenye charging stystem....
PC yangu inatatizo sawa na lako ukipata msaada nifahamishe na Mimi tafadhali.Charger ndio ya muda wote naitumia.
Na battery haijaonesha mabadiliko yoyote.
Duh machine yenyewe inashida hapo yakupasa kumuona fundiHaioneshi kitu.
Sasa hivi nikitumia adapter inawaka vizuri baadae inajizima na kujiwasha tena