Nina Laptop Dell imepata shida ya kuchaji Battery.
Yaani nikiweka Battery peke yake inawaka vizuri bila ya shida lakini nikiweka charger yake ili ichaji moto hauingii.
Nikitoa Battery na kutumia Charger bila ya Battery inaingiza moto unaingia na Laptop inawaka.
Na sasa Battery imebakisha chaji kidogo sana na sijui ntaichaji vipi.
Tatizo ni nini inakua hivi.