utata:

utata:

kila kitu kingne kipo poaa...ila education ndo wameshindwaa
unamaanisha upande wa kozi za education au sio?vp upande wa civil eng naskia vijana wana nyooka na gpa za kufa mtu ni kweli hayo?
 
yeah kozi za education mi sishaur mtu maana mi nasoma pale...kuhusu gpa wengi hupata gpa kubwa mwaka wa kwanzaa kutokana na kwanza wote i mean faculty zote wanasoma kitu kinaitwa general engineering...haijalish unachukua civil au mechanical...na kinachofundishwa pale ni msingi tu...na vingi ni marudio..ndo maana gpa huwa ni kubwa
 
hahahah....
 
Hey na life likoje aisee.mtu ana uhakika wa kupata hostel miaka yote 4 au unapanga mtaani?
 
hostel zipo kwa wasichana tu na sio kwa wote baadhi na sheria ni ngumu za pale...ila kwa boys ni kupanga mtaan around chuo..mtu anatakiwa ajipange
 
Mkuu vipi kwa mechanical??
Workshop zao zinavifaa???
 
Iv ni lazma uwe na account ya crdb iliupokee boon

sio lazma ila kama utakuja dIT au vyuo ambavyo account zao ziko CRDB n bora uwe n account ktk hiyo bank ili upate mkopo haraka..
 
Back
Top Bottom