abdulahsaf
JF-Expert Member
- Aug 31, 2010
- 858
- 130
Habari za uhakika yuko Africa kusini Kwenye coma, according to BBC this morning.
His condition is critical
what does that assasination attempt help us?
We know u don care but soon he will be back, i know you will get angry to see him walking and talking.
Zomba, si serikali yako sikivu imesema hakuna mgomo na madaktari wote wako kazini? sasa hao unaosema wameumizwa (kufa?) ni nini kimesababisha maumivu/vifo vyao? Maana kwa mujibu wa taarifa zote za serikali hakuna mgomo wa madaktari.
Mtafute Lusinde, Maji marefu na Komba wakufindishe kiingereza
Kwani mwanaume anayeweza kukuna vizuri ni Uli peke yake..si utafute mwingine?
Mkuu zomba jaribu kubadilika wewe hapa jamvini ni mgovi na huwa unafurahi ukiona watu wakipata ban zinazo sababishwa na weweMwanamme anakwenda "kuyamaliza" klabu? kwi kwi kwi teh teh teh!
The Government seems to be the Prime suspect..So what?
The Government seems to be the Prime suspect..
So what?
Naona unazidi kuanika ukilaza wako na kupigilia mstari kuwa akili zako ni sawa na akina Lusinde na maji marefu..that could only be correct if used it as "filled with pity, anger, fear etc.Ungejuwa maana ya ku "fill" pity na si ku "feel" pity usingesema unayoyasema, naona wewe huelewi nilichokiandika. Kajifunze.
anayeua kwa upanga atauliwa kwa upanga....
kazi ya kutoa roho ya mtu ni ya Muumba.. Watch out!
Refer kwa Saddam Hussein na wengine wanaofanana na wewe..
Mnataka kutoa roho ya Mtu anayedai haki yake tena ndani ya nchi yake!!... shame on you.. kama alikuwa anafanya kinyume na sheria kwa nini asipelekwe mahakamani badala ya kutaka kumuua.. Siku moja mtatoa hesabu za matendo ya kazi za mikono yenu mbele ya muumba. Kila mtu ataonja mauti kumbuka,,, tena hujui saa wala wakati...
Koma kabisa kushabikia mauaji............
Aliyepotea ni huyo asiyejijuwa saa hizi yuko hali gani wala wapi. Na mliyepotea zaidi ni nyinyi mnaoshadidia wagonjwa wazidi kukosa matibabu na mnaodhani kuwa alikuwa akifanya jambo la maana.
Mnashindwa kufikiri kitu kidogo tu, ni nini kilimpeleka usiku klabu ya ulevi kwa kuitwa "tuyamalize"? Fikiri na uwe mkweli wa nafsi yako.