Utata uko wapi hapo chin. Au ni ukada wako wa ccm ndio utata. Mbona akina nape waliwahi kusema waziri magufuli ni mzigo na anasafiri mno nje lakini leo hii wamemteua yeye kuwa mgombea wao.