fakenology
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 999
- 668
Msipaniki jamani
inauma sana kama si wake kweliMsipaniki jamani
thanks
Am searching .......for truth
inauma sana kama si wake kweli
sa mi nimekosea nini?
Nampenda diamond mshabik wa damu
Helo mond!!
Kwanza hongera sana kwa kupata mtoto ingawaje hongera yangu siielewi maana wananichanganya watu eti dogo si wako.
Ila nataka kukushauri Tu rais wangu .o
Me sijasoma saana ila Nina upeo wa kuona mbele kiaina
Issue hipo hv huyo mtoto tiffar najua unapiga nae hela so make sure izo deal za mtoto hela inayolipwa isiende kwenye account yake wala ya mama yake
Yule Ivan ana legal power kubwa sana juu ya zari.akienda mahakamani any time court order ya DNA ya mtoto itatolewa na wewe huwezi zuia.
Na kama mtoto so wako utawanufaisha buree utaachwa hapo bila bila my!
Be careful
Kila hela ya mtoto pokea mwenyewe usiweke kwenye account ya mtoto kwa sasa
Nisamehe kama nimekukwaza mind
Msalimie zari
Unaandika nini ? Sijakuelewa

You are searching for truth? Seriously?? Nenda katafute ukweli wa nani baba yako mzazi kwanza ndio uje umtafute baba wa tiffah
I see! Naona umechukua nafasi ya moyo wa Zari sasa!!!Wabongo bhana ...Sasa mtu kaenda "kuzaa" na mama wa watoto wanne ...mnategemea kwake muhimu ni aliyezaa naye mtoto Mmoja au baba wa watoto wake wanne?