Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 32,102
- 67,931
Hahahaaaaa kwa waislam 40 ya mtoto ni ya muhimu sana.Kumbe i was so wondaz mbona sioni wengine wakifanya.
Hata wakiwa wamechoka vipi watapika hata chai na maandazi kuliko kuiacha ipite hivihivi.