Upo sahihi kabisa. Suala la video kuonyesha mtu akiwa anaingia na kutoka bila purukushani au majibizano yoyote inatia shaka sana. Kimsingi Ruge anapata kiburi cha kuongea kwa sababu ile ambush ili abort. Lile jumba huwa usiku linageuka kuwa ni genge la kugawa ngada kwa wasanii na usiku ule ni bahati tu iliwakuta. Sasa kwa kuwa watu wana negative attitude na RC Mh. Paul C. Makonda, basi wala hawaoni juhudi zake za kutenda kazi.. Chapa kazi RC wetu, Mungu atakulinda na hila za vibaraka zitashindwa. Viva Makonda Viva.