Utata uliojificha kuhusu Corona

Kwa hyo Sallam SK alikua na Diamond kaumwa yeye pekee na Diamond mzima au diamond kakataa kutumwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inawezeka ni bacteria,na ndio maana urusi walisema hata Chloroquine inatibu corona marekani wameanza kuitumia Chloroquine na mimi naongezea hata vidonge vya tb vinatibu corona😳😳🙄🙄
 
Pia ukichukua takwimu mpaka Sasa waafrica waliofariki hawafiki 200 tofauti na mabara mengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapokuja jukwaani humu lazima muwe na data za ukweli, siyo kuleta uzushi kwa kuwa kuna watu wataamini ulichokiandika wakati si kweli.
Ukweli ni kwamba, mpaka kufikia Jana (trh 19 march, 2020) bara la Africa lilikuwa na vifo 16 tu.
Egypt = 6
Algeria = 6
Morocco = 2
Burkinafaso = 1
Sudan = 1
Source: BBC
 
Kwanini unaambiwa ukikohoa uzibe mdomo? Pia kirusi kinakufa? Unajua tabia ya kirusi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua maana ya kuziba mdomo? Lengo lake ni kuzuia unapokohoa chembe za mate yaani umatemate usije ukamwingia jirani yako uliye naye karibu! Wala siyo kwa maana ya kuzuia vimelea visiende hewani!
 
Na namba kubwa hapo ni Waarabu, black ni 1 tu kama siyo wawili na huyo wa Sudan! Gonjwa hili limekuwa overrated kwa Africa, hasa South of Sahara!
 
Mkuu, soma hii lebo kwa maana siku iliyotengenezwa na pale kwenye 'viruses'.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka unaleta imagnation zako kwenye mambo yanayohitaji tafiti....umeshiba vitumbua nadhani ...unajua mechanism ya virusi ...ilivyo sio

Virus wanasifa tofauti tofauti ....Virusi (kutoka Kilatini virus, yaani "sumu“) ni chembe ndogo sana iliyoundwa na maada jenetiki, kama ADN au ARN, katika koti la proteini.

Virusi vinahitaji msaada wa seli za viumbehai ili kutengeneza chembe nyingine za virusi.

Wakati mwingine huhesabiwa kati ya vidubini, lakini wataalamu wengi wanakanusha kwamba ni viumbehai kwa sababu haziwezi kuzaa vyenyewe pia havina metaboli. Si seli yenyewe, lakini vina sehemu za kiini cha seli.

Virusi vinaingia katika seli ya kiumbehai, kama mmea au mnyama au binadamu, na kutumia seli hiihii kuzaa, yaani kujizidisha mara elfu kadhaa. Tendo hili linasababisha vurugu ndani ya seli za mwenyeji, inayoonekana kama hali ya ugonjwa.

Hadi sasa kuna aina za virusi zaidi ya 5000 zilizotambuliwa.

Takriban virusi vyote ni vidogo kuliko bakteria na huonekana tu tangu kupatikana kwa hadubini ya kielektroniki. Lakini mwaka 2014 virusi vikubwa sana, ukubwa wa bakteria ndogo, vimeelezwa: Pithovirus sibericus. Vinaambukiza amiba.

Muundo wa virusi una sehemu mbili pekee: uzi wa ADN au ARN halafu koti la proteini la kulinda uzi huo. Kwa kawaida ADN au ARN ya virusi ina jeni chache kwa kulinganisha na viumbehai, kama makumi kadhaa. Lakini virusi kama Pithovirus na Pandoravirus vina mamia ya jeni.

Ambukizo la virusi katika wanyama na watu husababisha itikio la kingamwili unaoelekea kuua virusi. Lakini mjibizo huu, unaoonekana mara nyingi kwa homa, unaweza kudhoofisha mwili na kuleta hali ngumu hadi kifo. Virusi hatari zaidi ni vile vinavyohama kutoka kwa mnyama kumwathiri binadamu; hivyo huitwa virusi vya zoonosia.

Ni vigumu kupata dawa za virusi kwa sababu virusi huishi ndani ya seli za mwili wa mwenyeji, hivyo kuna hatari ya dawa kusababisha hasara kwa seli zenyewe. Kuna virusi kadhaa ambavyo chanjo kimegunduliwa ingawa hakikingi asilima 100 maana virusi huwa na uwezo wa kubadilika haraka.

Kati ya magonjwa yanayosababishwa na virusi kuna influenza (homa ya mafua) na pia UKIMWI. Aina kadhaa za virusi zinaweza kusababisha saratani.



sent from toyota Allex
 
Uwe unakuja na takwimu za kweli ..... Africa waliofariki na corona hawafiki hata 20 we unatuambia 200 ..... Wakati wanaoumwa tuu hawafiki hata 200
 

Nakuona mkemia mkuu wa taifa la mtandaoni unaendelea na utafiti wako


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huja fanya utafiti wakutosha kuhusu corona...
Mfano corona haiambukizwi kwa hewa...
 
Nadhani dr wetu mtafiti hapo juu hii elimu hana.
 
Huu Ugonjwa umepewa sifa zisizohostahili kabisa. Yaani huku africa wala haikutakiwa kupaniki kabisa. Wazungu miili yao iko weak sana. Tangu wadogo imezoea dawa. So i milaini. Now wanasema tangawizi dawa. Sisi kila siku tunaweka kwenye chai so aitomatically tuna dawa mwilini ndo maana hatuna shida sana hata ukipata ni siku 2 tu unakuwa poa.
Kwa watu weupe ni habari nyingine sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii idadi ya wagonjwa 6 badala ya 5 inakujaje
 
Wakati unaendelea kufanya utafiti wako,tungependa kujua na taaluma yako labda itatushawishi kusubiri kazi ya utafiti wako.
 
Yaani mkuu wataalam wote magwiji wa afya kutoka nchi mbalimbali zenye tamaduni , deaturi na mila tofauti wamethibitisha ni VIRUS ila wewe nd'o umeamua kwenda ant - clockwise?!! Kuna kinaitwa WHO nafikiri unakifahamu nd'o kimetengeneza jina la COVID - 19 halafu wewe bado unaweza kusema ni BACTERIA ?!! Pia unapotosha kusema unaenea kwa hewa . Sasa issue ingekuwa inasambaa kwa hewa tungesisitizwa mambo ya kunawa mikono ? Jaribu kutulia mkuu naona COVID - 19 imekuathiri kivingine .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uelewa wako wa Biology nna Mashaka nao a simple logic about virus as airbone desease ata mafua yanaambukizwa kwa hewa of which Virus wa mafua anaitwa influenza sembuse uyo corona? ungeanza na mafua tu kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…