Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,738
- 284,687
How did you know that ? kama wengine wanatajwa hawa kwanini wafichwe ? hivi unamfahamu vizuri Mwana FA ?Walitajwa asubuhi kuwa mtanzania mmoja alikuwa ametokea south africa(mwana FA ndiye alikuwa south)
Mwingine alitembelea France,sweeden na Denmark(Salam sk ndiye alitembelea huko akiwa na Diamond) hizo taarifa zilitolewa asubuhi.
Mwana fa alijitangaza baadae, so waliojitangaza ndio hao taarifa zao zilitolewa na namlaka. Sidhani mtu tu akurupuke kujitangaza bila taarifa/ruhusa ya mamlaka.
Hata mimi nilipata mkanfanyiko ila nilivokuja kuirejea ripoti ya asubuhi ndio nikaekewa.
Maswali ni mengi majibu machache.Maajabu mengine ni haya , waliojitangaza wenyewe kwamba wana corona kama Mwana FA hawajaongezwa kwenye orodha !
Kwanini unashangaa Corona kuambukizwa na Virus wakati hata mafua ya kawaida yanasababishwa na Virus na yanaambukiza kwa njia ya hewa?Kwa kipindi kirefu nilikuwa najiuliza corona ni kirusi au bacteria?
Niliposkia kuw ni kirusi nikashangaa kirusi kinasambaaje kwa njia ya hewa? Na Kama ni kweli inamaana dunia nzima tungeangamia?
Pia ukipata corona hupewi dawa ila baada ya muda unakuwa sawa endapo ukakaa sehemu yenye joto hapo nikapata mkanganyiko kuwa huenda corona ni bacteria
Na ukipiga hesabu watu walioambukizwa corona wote duniani 0.02% ndiyo wamefariki na waliofariki wengi ni wazee na wenye magonjwa na afya dhahifu waliobaki hawajafa
Pia ukichukua takwimu mpaka Sasa waafrica waliofariki hawafiki 200 tofauti na mabara mengine
Nlichogundua corona ni haina furani ya mafua inayo shambulia kwa Kasi maeneo yenye baridi ndiyo maana idadi ya waliokufa Africa ni ndogo
Pia Kuna watu walikuza story kuhusu corona ili kuleta taharuki pengine wanafaidika na taharuki hiyo
Kiukwel Bado nachunguza Kama corona ni kirusi na kma kirusi kinaeneaje kwa njia ya hewa? Na je kirusi huwa hakifi huishi kutokan na mazingira iweje kunawa maji kuwa suruhisho la corona? Na je kwa Nini tunaambiwa tusivae maski kma siyo wagonjwa wakati nivigumu kumtambua mgonjwa.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Virusi vinaenea kwa njia ya majimaji na hewa mtu anapokohoa Sasa unabisha vp
Virusi vinadawa? Mafua yanaenea kwa bacteriaKwanini unashangaa Corona kuambukizwa na Virus wakati hata mafua ya kawaida yanasababishwa na Virus na yanaambukiza kwa njia ya hewa?
Influenza Virus ndio causative agent wa Mafua
Nini kimekushangaza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kipindi kirefu nilikuwa najiuliza corona ni kirusi au bacteria?
Niliposkia kuw ni kirusi nikashangaa kirusi kinasambaaje kwa njia ya hewa? Na Kama ni kweli inamaana dunia nzima tungeangamia?
Pia ukipata corona hupewi dawa ila baada ya muda unakuwa sawa endapo ukakaa sehemu yenye joto hapo nikapata mkanganyiko kuwa huenda corona ni bacteria
Na ukipiga hesabu watu walioambukizwa corona wote duniani 0.02% ndiyo wamefariki na waliofariki wengi ni wazee na wenye magonjwa na afya dhahifu waliobaki hawajafa
Pia ukichukua takwimu mpaka Sasa waafrica waliofariki hawafiki 200 tofauti na mabara mengine
Nlichogundua corona ni haina furani ya mafua inayo shambulia kwa Kasi maeneo yenye baridi ndiyo maana idadi ya waliokufa Africa ni ndogo
Pia Kuna watu walikuza story kuhusu corona ili kuleta taharuki pengine wanafaidika na taharuki hiyo
Kiukwel Bado nachunguza Kama corona ni kirusi na kma kirusi kinaeneaje kwa njia ya hewa? Na je kirusi huwa hakifi huishi kutokan na mazingira iweje kunawa maji kuwa suruhisho la corona? Na je kwa Nini tunaambiwa tusivae maski kma siyo wagonjwa wakati nivigumu kumtambua mgonjwa.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hiyo "link" hafunguki jaribu hii hapaKwamba wajiuliza Kiukwel Bado nachunguza Kama corona ni kirusi na kma kirusi kinaeneaje kwa njia ya hewa?. Ebu pitia makala ifuatayo huenda ikakupa mwanga kiasi kuhusu COVID 19, kirusi cha CORONA.
I highly recommend you guys take the time to watch this video before they remove it from the internet
Au ya hii ya YouTube, ambayo ni sehemu tu ya taarifa kamiliKama hiyo "link" hafunguki jaribu hii hapa
Na hii hapa kama itafungukaAu ya hii ya YouTube, ambayo ni sehemu tu ya taarifa kamili
Hey, hebu acha uongo weyee
Na ni waarabu watupuMpaka sasa bara la Afrika wamefariki 16
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshakwambia kilichopelekea nijue ni wao ni simple kwa sababu hao ndio walikuwa kwenye hizo nchi na wenyewe wamethibitisha kuwa wana COVID-19, sasa unapata tabu vipi kuanza kufikiri hawa ni wapya sio wale waliotangazwa na mamlaka asubuhi.How did you know that ? kama wengine wanatajwa hawa kwanini wafichwe ? hivi unamfahamu vizuri Mwana FA ?
Hii kuambiwa tusivae maski wakati so mgonjwa ni huku kwetu Tanzania tu.Kwa kipindi kirefu nilikuwa najiuliza corona ni kirusi au bacteria?
Niliposkia kuw ni kirusi nikashangaa kirusi kinasambaaje kwa njia ya hewa? Na Kama ni kweli inamaana dunia nzima tungeangamia?
Pia ukipata corona hupewi dawa ila baada ya muda unakuwa sawa endapo ukakaa sehemu yenye joto hapo nikapata mkanganyiko kuwa huenda corona ni bacteria
Na ukipiga hesabu watu walioambukizwa corona wote duniani 0.02% ndiyo wamefariki na waliofariki wengi ni wazee na wenye magonjwa na afya dhahifu waliobaki hawajafa
Pia ukichukua takwimu mpaka Sasa waafrica waliofariki hawafiki 200 tofauti na mabara mengine
Nlichogundua corona ni haina furani ya mafua inayo shambulia kwa Kasi maeneo yenye baridi ndiyo maana idadi ya waliokufa Africa ni ndogo
Pia Kuna watu walikuza story kuhusu corona ili kuleta taharuki pengine wanafaidika na taharuki hiyo
Kiukwel Bado nachunguza Kama corona ni kirusi na kma kirusi kinaeneaje kwa njia ya hewa? Na je kirusi huwa hakifi huishi kutokan na mazingira iweje kunawa maji kuwa suruhisho la corona? Na je kwa Nini tunaambiwa tusivae maski kma siyo wagonjwa wakati nivigumu kumtambua mgonjwa.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu wa Kwanza kufa kwa huu ugonjwa Denmark ni mwafrika kutoka Ghana,alikuwa na umri wa miaka 62Kuna waafrika weusi wamefariki?
Corona ni Airborne virus, mwenye huu ugonjwa akienda chafya anaweza kuwaambukiza watu 35 kwa pamoja