Utata mtupu

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
90
Wanadau nauliza,utamjuaje mwanamke mwenye maumbile madogo au makubwa?,pia kwa mwanaume anaewahi kumaliza anatakiwa ale chakula gani/dawa gan ili awe anachelewa? Mimi wanandg,dk 2 tu bao la kwanza tayari,mengne dk 6-8,eb nambien nina tatizo la pre-mature ejaculation?
 
du dk 2? pole mkuu, jitahidi kucheza na hisia zako, mara nyingi usipanie tendo jiandae vzr. kumjua mwanamke mwenye mashine kubwa mpaka kwenye gemu utaiona tu jinsi ilivyo. saikolojia ndo kila kitu.
 
Mazoezi ndio dawa halisi na ya kudumu, Pili Tumia minimum ya dakika 30 kuandaana. Hii inasaidia kumuandaa mwenzio na kupunguza mihemko na pressure yako (wenge) Ukifika na kuanza unakua na mihemko so in a minute tayari.

Onyo: Inaruhusiwa kwa walio na miaka 18 kuendelea tena walioko kwenye ndoa.
 
1. Hakikisha unakula ugali wa ngano isiyokobolewa na mahindi yasiyokobolewa.

2. Kula dona.

3. Kula samaki na nyama ya kuku wa kienyeji, kula mayai ya kienyeji

4. Kula mboga na matunda.

5. Usile chipsi mayai, kuku wa kisasa, kitimoto, nyama nyekundu, etc

6. Fanya mazoezi.

7. Muandae mwanamke vizuri kabla ya gemu mpaka mwenyewe ajichomekee ndiyo ufanye kazi.
 
Dk mbili noma eee? Na hzo 6-8 angalau,maana demu wangu huwa anakubali tu ee umenitosha.
 
Wengne wanasema supu ya pweza.sa sisi wa kanda ya kati tutaipataje,au kuna njia mbadala?
 

Umenena vyema.
 
utafikiri jamaa anafundishwa kwenda kwenye interview
 
Kweli utata, kiatu kipo kwenye boksi, nikitambue kama kitatosha mguuni! Njia mbadala itakuwapo. Nasubiri nifahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…