Juzi tu serikali ilitoa orodha ya vyuo ambavyo havitaruhisiwa kupokea wanafunzi na Chuo cha hurbert Kairuki kilikuwepo,lakni nashangaa majina ya waliochaguliwa Kairuki yametoka,yaani hii sirikali ni inabadilika badilika Kama kinyonga.