Wewe umeamua kwa maksudi kabisa kuwasema chadema kwa kuwa toka kianze bado wamepanga pale Kinondoni kwenye nyumba ya kiongozi wa chama.Hiki chama kinapata wapi mapato yake hususani hawasemi? Wanaweza kusema labda ni wanachama mimi nasema la hiki chama kinapata wapi mabilioni ya kuwapa wasanii kama kina Diamond na wengineo wengi.
Bora hata vyama vya upinzani CHADEMA for instance mbali na ruzuku wanapata pia misaada kutoka vyama rafiki nje lakini mbali na CCM nadhani si ruzuku tu.
Huenda pesa zinachotwa serikalini hakiwezekani chama hakijulikani mapato yake yanatoka wapi ambapo wanagharamia mabilioni ya pesa kwenye vijimikutano yao.
Isiwe ikawa ni kodi zetu
Ruzuku ya CDM inafanya kazi gani mbona hata ofisi ya Makao Makuu hakuna?Hiki chama kinapata wapi mapato yake hususani hawasemi? Wanaweza kusema labda ni wanachama mimi nasema la hiki chama kinapata wapi mabilioni ya kuwapa wasanii kama kina Diamond na wengineo wengi.
Bora hata vyama vya upinzani CHADEMA for instance mbali na ruzuku wanapata pia misaada kutoka vyama rafiki nje lakini mbali na CCM nadhani si ruzuku tu.
Huenda pesa zinachotwa serikalini hakiwezekani chama hakijulikani mapato yake yanatoka wapi ambapo wanagharamia mabilioni ya pesa kwenye vijimikutano yao.
Isiwe ikawa ni kodi zetu
Waislamu sisi tunapenda kifo kuliko wanvyopenda wao duniaUnaufahamu vizuri mto ruvu?
Cha maana walichofanya ccm ni nn.hasa?Vipi MKUU UNAFAHAMU JUU YA MATUMIZI YA RUZUKU NA HIYO MISAADA KWA CHADEMA?????maana hakuna cha maana kwenye hiki CHAMA kinachoonekana mpaka sasa ZAIDI YA KUONA WATU WACHACHE WATUNA MATUMBO TU .....ebu tuanzie hapo kidogo Afu na mimi ntakusaidia juu ya Vyanzo vya mapato ya CCM na matumizi yake...........
Unashindwa nn kuvitaja mkuuuMi kweli naweza kuwa mjinga lakini wewe ukawa mwerevu uliyeshindwa kujua au kuitumia akili yako ipasavyo mi si ccm fwatilia kwanza vitega uchumi vya ccm na ujue wanapataje mapato yao na wanayatumiaje sio kubisha bila fact
Si shindwi kivitaja viko vingi sana mkuuUnashindwa nn kuvitaja mkuuu
OrodheshaWana miradi mingi