Mi kweli naweza kuwa mjinga lakini wewe ukawa mwerevu uliyeshindwa kujua au kuitumia akili yako ipasavyo mi si ccm fwatilia kwanza vitega uchumi vya ccm na ujue wanapataje mapato yao na wanayatumiaje sio kubisha bila facthahaha we jinga kwel mali zipi za kuwapa mabilioni? jee ni yale majumba mabovu Ya maofisi mlojenga kule?
hivyo viwanja mmeweka vitega uchumi gan?
Mali za kupora jasho la wananchi mtazitema tu kwa wakatiCcm ndio chama tajiri barani Africa hebu jaribu kufuatilia tu kwa mkoa unaoshi wewe Mali za ccm tu then rudi tena kuandika hapa
Wana miradi mingi
Serikali ya ccm si imefilisika hata mbowe ametangaza bungeni niaba ya serikali sasa wewe mfuasi unaishutumuje serikali kuipa mabilion ccm huko c kupingana wazi wazi na kiongozi wako mkuu?Mkuu Max anateswa kwa sababu kawakatalia CCM kununua JF kwa billioni 10. Jiulize wanazipata wapi?
Kiongozi asiyepingwa ni dikteta uchwara maana mwisho wa wanaompiinga ni kufungwa kwenye sandarusi na kutupwa mto ruvu.Serikali ya ccm si imefilisika hata mbowe ametangaza bungeni niaba ya serikali sasa wewe mfuasi unaishutumuje serikali kuipa mabilion ccm huko c kupingana wazi wazi na kiongozi wako mkuu?
Mbowe si alishasema serikali imefilisika sasa wanaipaje mabilioni ccm yanatoka wp?hahaha we jinga kwel mali zipi za kuwapa mabilioni? jee ni yale majumba mabovu Ya maofisi mlojenga kule?
hivyo viwanja mmeweka vitega uchumi gan?
Ndugu tunapotaka kujua kitu lazima tuweke mapenzi na chuki pembeni iliuweze kujua wakati tuna chama kimoja kutokea TAA,TANU mpaka ccm Mali nyingi zilimilikishwa chama kwa sababu ya kuwepo chama kimoja na mpaka mfumo wa vyama vingi ccm iliendelea kushikilia Mali zote ilizokuwa nazo huende zilikuwa za umma au la kwavile zilikuwa zinatumika kwa jina la ccm basi zilikuwa zao kwa sababu hakukuwa na sheria ambayo ingeweza kuwashurutisha wazirudishe serikalini ndio mpaka Leo unaona baadhi ya viwanja na majengo viwanja vya mpira viwanja vya wazi ni Mali zaoMali za kupora jasho la wananchi mtazitema tu kwa wakati
Sasa kati yako na mkuu wako nani mkweli na muongo?Kiongozi asiyepingwa ni dikteta uchwara maana mwisho wa wanaompiinga ni kufungwa kwenye sandarusi na kutupwa mto ruvu.
Ni kweli na aliyeifilisi si mwingine bali CCMMbowe si alishasema serikali imefilisika sasa wanaipaje mabilioni ccm yanatoka wp?
Sasa inaendeleaje kuwapa mab ccm kuwalipa mshahara na posho akina mbowe kujenga miundo mbinu n.k?Ni kweli na aliyeifilisi si mwingine bali CCM
Unataka ukweli gani wewe unaishi tz ipi isiyo na ajira haina uwezo wa kutoa mikopo kwa sababu ya kufilisika.Sasa kati yako na mkuu wako nani mkweli na muongo?
Orodhesha hiyo miundombinu. Ondoa ya msaada na michango ya Kagera. Inawalipa kama wewe unavyolipwa mimi silipwiSasa inaendeleaje kuwapa mab ccm kuwalipa mshahara na posho akina mbowe kujenga miundo mbinu n.k?
Haa kwahiyo wamefilisika kwenye mikopo na ajira tu? Na je wakianza kutoa mikopo na ajira watakuwa wameibuka au kutajirika? Au labda ni kufilisika kwa vipindi?Unataka ukweli gani wewe unaishi tz ipi isiyo na ajira haina uwezo wa kutoa mikopo kwa sababu ya kufilisika.
Usijipe upofu fungua macho uondoke kwenye ndoto za alinicha
Nimechoka kukupa promo wewe bozongwa. Nenda Lumumba wakakutie ujinga zaidiHaa kwahiyo wamefilisika kwenye mikopo na ajira tu? Na je wakianza kutoa mikopo na ajira watakuwa wameibuka au kutajirika? Au labda ni kufilisika kwa vipindi?
Juzi katoa pesa mahakamani katoa pesa magereza lkn inawezekana hizo pesa hajatoa anadanganya lkn interchange ya tazara inajengwa na ndege zimenunuliwaOrodhesha hiyo miundombinu. Ondoa ya msaada na michango ya Kagera. Inawalipa kama wewe unavyolipwa mimi silipwi
Hiki chama kinapata wapi mapato yake hususani hawasemi? Wanaweza kusema labda ni wanachama mimi nasema la hiki chama kinapata wapi mabilioni ya kuwapa wasanii kama kina Diamond na wengineo wengi.
Bora hata vyama vya upinzani CHADEMA for instance mbali na ruzuku wanapata pia misaada kutoka vyama rafiki nje lakini mbali na CCM nadhani si ruzuku tu.
Huenda pesa zinachotwa serikalini hakiwezekani chama hakijulikani mapato yake yanatoka wapi ambapo wanagharamia mabilioni ya pesa kwenye vijimikutano yao.
Isiwe ikawa ni kodi zetu
Umekwama hoja unaropoka bila utafiti mdogo tu wa kawaida ili mradi ujiridhishe kuwa wewe ni mpinzani upinzani sio lazima kupinga kila kitu kusifia tunajua ni dhambi kubwa sana kwa upinzani lkn ni bora ukae kimya kuliko kuponda bila hoja unapoteza nguvu ya upinzani tuliyoizoea nguvu iliyotuibulia madudu mengi ya ccm km escrow epa meremeta richmond n.k upinzani ni muhimu sana katika maendeleo ya taifa lkn sio upinzani wa kutunga uwongo na kuedit picha za pangaboi zimeanguka n.k hongera kwa wabunge wa upinzani wanaojielewa na tegemeo la wananchi kama nassari zitto kafulila dr slaa (enzi zake) mbatia sugu na wengine wengi.Nimechoka kukupa promo wewe bozongwa. Nenda Lumumba wakakutie ujinga zaidi
Hoja na vioja za popoma wewe zidumuUmekwama hoja unaropoka bila utafiti mdogo tu wa kawaida ili mradi ujiridhishe kuwa wewe ni mpinzani upinzani sio lazima kupinga kila kitu kusifia tunajua ni dhambi kubwa sana kwa upinzani lkn ni bora ukae kimya kuliko kuponda bila hoja unapoteza nguvu ya upinzani tuliyoizoea nguvu iliyotuibulia madudu mengi ya ccm km escrow epa meremeta richmond n.k upinzani ni muhimu sana katika maendeleo ya taifa lkn sio upinzani wa kutunga uwongo na kuedit picha za pangaboi zimeanguka n.k hongera kwa wabunge wa upinzani wanaojielewa na tegemeo la wananchi kama nassari zitto kafulila dr slaa (enzi zake) mbatia sugu na wengine wengi.
Pointless unaanzisha hoja usizoweza kuzitetea kajipange.Hoja na vioja za popoma wewe zidumu