Dali Mpofu
Senior Member
- May 9, 2021
- 173
- 329
Hiyo midoli mnaipataga wapi ya hivyo na Mimi nikanunueMara nyingi natumia ile kauli "mwanamke usipomuendesha wewe atakuendesha yeye" hivyo nimekuwa na utaratibu wangu wa kipekee ktk ndoa yangu. Sio udikteta wala si kwamba nafanya kitu sijui.
Ipo ivi
Mke wangu ni marufuku na kosa la jinai kuvaa suruali na nguo yoyote dizain hyo, nguo zake ni gauni pana,blauzi skert na nguo zenye heshima.
Mke wangu hana campan ya wanawake wa aina hyo ya mavazi ya uchi hyo ni sheria sio ombi,kwa kifupi hana marafiki, mkewangu ni yeye na nyumbani nyumbani na yeye. Habari za kwenda kwenda kwao hyo haipo kwangu,labda km kuna issue ya lazima pia tunaweza kwenda nae tukarudi cku hyo hyo.
Mke wangu anaishi maisha local, sio mtu wa kwenda na usasa kivile. Anaishi maisha safi, kula vzr kulala pazuri huduma zote muhimu anapata lkn sio mtu wa kwendwa na nyakati,hapendelei kusuka ni mtu wa kunyoa tuu.
Nimarufuku nimkute mke wangu anasafishiwa kucha/miguu na wasafisha kucha, ananijua hawezi kuthubutu.
Mimi mda wa kurudi nyumban haujulikani sina ratiba maalum, kwa kifupi ratiba zangu mkewangu haelewi na sitaki aelewe.
Mimi kuchukua simu yake na kuondoka nayo ni jambo la kawaida, alafu ni kosa nikute kaunga kifurushi cha Sms kwenye simu yake.
Nimefanya haya na mengine na nimeweza kwa kiwango kikubwa, na mkewangu amechukulia km ni utaratibu wa ndo. Sifanyi kumkatili lkn najua mwanamke usipomuendesha atakuendesha.
Mwanamke usipomuendesha atakuendesha😂😂😂😂 mbona utakua unambana sana shangazi ankoli
Kuna mambo ukifanya inaonesha malezi uliyopitia mkuuMwanamke usipomuendesha atakuendesha
Uchape tuu ila ndoa ibaki kuwa na heshimaLabda umzindike kama ni kuchapiwa tu,utachapiwa
Haha km yapi kijana wanguKuna mambo ukifanya inaonesha malezi uliyopitia mkuu
Kuna vitu unaweza kusema unafnya kwa maamuzi yako kumbe ni ishu za inheritance...je faza yupo hivo..?Haha km yapi kijana wangu
Unataka kuanza kunambia mambo kurithi mzeeKuna vitu unaweza kusema unafnya kwa maamuzi yako kumbe ni ishu za inheritance...je faza yupo hivo..?
Au haka katabia umeanza nako weweb
Asione hii comentkataa ndoa
ndoa ni utumwa
#ponda mali kufa kwaja
Ndo mana nimekuuliza mkuu....Unataka kuanza kunambia mambo kurithi mzee
Huu ni uhuru uliovuka mipaka sasaAisee natafuta mume WA kunithibiti jamani
Just imagine ninatumia WiFi ya voda hapa home .nalipia kwa mwezi
Haya ni matumizi mabaya ya Uhuru kama.mwanamke
Saa tano usiku Niko jf sio fair nilitakiwa niwe nagegedwa huko
Inawezekana ila kaa utaanza taratibu hizi mwanzo kabisa ila ukisubir mshaanza safari umeishaHiyo midoli mnaipataga wapi ya hivyo na Mimi nikanunue
kugegedwa ndo nini sijaelewaAisee natafuta mume WA kunithibiti jamani
Just imagine ninatumia WiFi ya voda hapa home .nalipia kwa mwezi
Haya ni matumizi mabaya ya Uhuru kama.mwanamke
Saa tano usiku Niko jf sio fair nilitakiwa niwe nagegedwa huko
Mwanamke unaanza kumjenga mwanzoni kwenye ndoa, ukisubiri hadi baadae umevunja ndoaSema kuna raha sana kuwa na mwanamke asie na marafiki wengi.
Wanawake wa hivi hawana mambo mengi na ninawatakia usiku mwema, nyie wengine liwakute lolote.
Kuna namna ukimjenga mkeo toka cku ya kwanza mnafahamiana hawez badilika, ila ukimpa mda alafu uje baadae na utaratibu wako umevunja ndoaMzee wangu, mabaradhuli wakiamua yao hata umpake masizi watammbato tu huyo mkeo.
Halkadhalika na mkeo akiamu kumbwato hata umuwekee kufuli ya papa, atakishatombe tu.
Epuka kumuwekea mkeo nidhamu ya uoga maana hapo ndio unamtia ununda, siku akipata muha mwenye maneno matamu umekwisha.