Kwa ambae ameshapitia hv utaratibu wa mirath kwa pesa ambayo marehem aliiacha bank mbona unakua ngum hv? Kila kitu kimekamilika tangu December lkn hela haitoki shida hua nini?
Je, kwa ambae ameshafatilia ulichukua muda gani na changamoto kubwa hua nn?
Asanten