chofachogenda
Senior Member
- Oct 6, 2016
- 107
- 199
Habari wadau wenzangu wa jamii forum
Kwa kipindi kirefu nimekuwa na wazo hili ila nimeshindwa kulifikisha mahala husika kutokana na sababu mbalimbali. Kwa kipindi hiki ambacho dunia inashuhudia ongezeko la joto duniani hivyo kuhitaji juhudi mbalimbali ili kujinusuru na janga hili nilikuwa naomba mamlaka husika au mtu mmoja mmoja tuwe na utaratibu wa kupanda mti kila tunapokumbuka au kuadhimisha jambo lolote muhimu katika maisha yetu
Mfano kuwe na sehemu katika kila wilaya ambayo tunaiweza kuitenga endapo mtu akifunga ndoa anaenda pale na kupanda mti walau mmoja na wawe na utaratibu wa kuufatilia na kuutunza mti wao, au mtu akiwa na birthday yake anaenda sehemu husika na kupanda mti kuhakikisha anautunza kama kitu chake cha THAMANI.
Hii sio tu itaweka kumbukumbu isiyofutika kirahisi ila pia itadumisha upendo kwa wapendanao na muhimu zaidi itasaidia katika kutunza mazingira yetu.
Naomba kuwasilisha