nkonges100
Member
- Sep 27, 2015
- 12
- 3
Habarin za mida. Nina laini yangu ya Tigo imepotea na simu ya kitochi, sasa nngependa kujua procedure za kuirudisha namba yangu na nilikuwa nimeshaisajili kwa alama za vidole.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app