Utararibu wa kawaida umerejea korea ya kaskazini 2021 jana usiku

snow snow

Senior Member
Sep 12, 2014
118
88
Utararibu wa kawaida umerejea korea ya kaskazini 2021 jana usiku.

Mwaka jana Kim jong un alionekana akilia na kuomba msamaha mbele ya gwaride kwa kushindwa kudhibiti covid na uchumi , ilikwa tu ni ngonjera.

Ni wiki mbili tangu mwaka 2021 uanze akisimama na kupungia magwaride yake yakipita na silaha mpya za nyuklia alizo tengeneza zenye nguvu kubwa ya kulipua na pia kumpata adui popote alipo ndani na nje ya mipaka ya korea ya kaskazini. Na ameahidi kukuza ghala lake la nyklia na mesile , maelezo kutoka kwa msemaji mkuu wa mambo ya ulizi. nini maoni yako?

Kwenye picha ni jana akipungia ma gwaride yake Usiku. #sumpremeleader #Northkore #Blasticmisile #Nucearresume.
 
Safi sana mimi binafsi nakubali sana kwa muda mrefu nilitamani kusikia habari now nafarijika sana natamani hata mama Tanzania tuige mfumo huu.

Mfano tuna Ziwa Nyasa huko Mbeya mito yote inayo tiririsha maji na kulijaza inatoka Tz ni zaidi ya 70% inatoka huku lkn anakuja mjinga mmoja eti ziwa lote ni langu wakati hata sheria za kimataifa zimetambua hilo na kuligawa ziwa kati kati sasa mtu kama huyu hayo madude lazima yamhusu
 
w

weka picha
 
Back
Top Bottom