Tatizo mnalazimisha utamaduni.
Waafrica kuwa na wapenzi wengi ni jadi yetu na ndiyo maana Babu zetu walioa wake wengi..sasa nyie mnatuletea uzungu wa mke mmoja nani ataweza huo utumwa?
Acheni watu wajipendelee..huwezi kula nyama kila mlo..lazima kuchanganya mlo ili kupata balance ya diet.
Mnashangaza,wanawake ndio wasinyae kwa kuwa underfeeded?
Mababu hao wa zamani walikuwa wanamudu kutoa dose ya kutosha,sasa nyie wajukuu mnataka kuiga wakati hata huyo mke mmoja hali akashiba huyo wa ziada utampa nini?
Kuna mmoja alisitisha kutuma hela tigopesa ..... ghafla zile sweet names baby, sweetness, honey, my love, my umbrella et al, pillow talk tupa kule kwenye michongoma.... Mapenzi ya sasa ni balaa:A S-heart-2::A S-heart-2:
[/B][/COLOR]Mnashangaza,wanawake ndio wasinyae kwa kuwa underfeeded?
Mababu hao wa zamani walikuwa wanamudu kutoa dose ya kutosha,sasa nyie wajukuu mnataka kuiga wakati hata huyo mke mmoja hali akashiba huyo wa ziada utampa nini?
wanaume wenyewe hawa wa burger na sambusa.. mmoja tu wanashindwa kummudu bado wanakomaa na kubadilisha ladha. sisi pia tunawachoka ila ndo ivyo kuchepuka sio hulka yetu