o sofln nywele zangu ni ngumu na nnazijua sana huwaga km vile zime expire sijui hazinaga nguvu yaani haya madawa yafungwe kwakweliNa sofn free
Easy wave! Inshort mimi wiki hazifiki zinakuwa zimeshaota! Nliamua kunyoa nikaanza upya kusuka sitaweka dawa tena
bora ukae kimyaHaya ni matokeo ya kutokubali ulivyoumbwa.Kwanini usibaki na nywele zako natural ukatia kitu cha mafuta ya nazi??
halimu inabidi uanze kunyoa upyaHiyo revlon ndio nilikuwa natumia miaka yote ila nywele zinaota haraka sana.
Nimehamia Movit now, inasemekana angalau hawachakachui
weka pichaNyoa kipara kama mimi dada yako uwaachie midawa yao wapake wenyewe
Kweli tupuya kweli hayo dada?
poanaisubiri
Mbona na wewe hubaki kama ulivyo umbwa? unavaa nguo,kwaniumeumbwa na nguo, unanyoa mavuzi, siuache tu kwani aloyaumba hakujua kuwa yako na kazi yake huko? mnakata kucha za nini basi, ukitaka ubaki kama ulivyo ubwa we utaweza hata kidunchu tu? Mambo ya Mungu tumuachie Mungu.Haya ni matokeo ya kutokubali ulivyoumbwa.Kwanini usibaki na nywele zako natural ukatia kitu cha mafuta ya nazi??
teh teh teh amekuelewa kwakweli.Mbona na wewe hubaki kama ulivyo umbwa? unavaa nguo,kwaniumeumbwa na nguo, unanyoa mavuzi, siuache tu kwani aloyaumba hakujua kuwa yako na kazi yake huko? mnakata kucha za nini basi, ukitaka ubaki kama ulivyo ubwa we utaweza hata kidunchu tu? Mambo ya Mungu tumuachie Mungu.
Unamaanisha zaidi ya nywele hakuna kingine kinachomtofautisha mwanaume na mwanamke?sasa na MR akinyoa mnakuwaje?