Wazee wa pi Ο wamechimba miaka mitano yote wameunguza bando zao, wamegawa taalifa zao kwa matapeli wakiota ndogo za Kuja kuwa mabilionea kwamba Pai Moja Inathamani ya usd laki 3. Aisee hii Dunia Haina huruma ukikaa kindezi hata hicho kidogo ulichonacho wanachukua