Bw mito (Balloteli) wewe mwenyewe hujajieleza vizuri huenda huyo Wakala akataka msaada wa kifedha kwani No. ya huyo mteja si bado anayo kwanini asimpigie kumueleza yaliyomsibu? Mimi nilichosikitika ni hiyo heading kuwa "utapeli tigo sasa unatisha!" mimi ni mtumiaji wa tigo sioni kosa lao km huyo wakala hataki kusema ukweli natakupa link ya tigo uwaarifu kwa msaada zaidi Welcome to Facebook - Log In, Sign Up or Learn More hapo waeleze yote au ingia facebook na utafute Tigo Tanzania Huo ni msaada wa mwisho ambapo utajua nani ni mkweli Wakala au mwizi
Chilubi nimekuelewa na km nimekosea MNISAMEHE kwani lengo langu ni kuuelewesha UMMA hii Tasnia ya Electronic Money ni tofauti na watu wanavyoelewa eti kwenda dukani kwa mtu na kununua chumvi halafu akakuzika. ni hivi:-Ukwaju husomi vizuri nduguuuuu ah! Ukizipitia posti za mtoa mada kashasahihisha kuwa sawa sio tigo pesa bali ni mtoaji na mpokeaji. Mi nilivoisoma tu mada yake nikawa nshajua nini alichokusudia, lakini wewe ukawa unatoa ushauri nje kabisa ya maudhui. Huwezi kumshauri eti aende tigo kupeleka malalamiko, kwanza jiulize, hao tigo watakusaidia vipi? Wao watakuwa na ushahidi gani km ni chuma ulete? Wewe binafsi ushahidi wako upi? Hata kama namba ya mteja unayo, yeye si alikukabidhi hela na ukazitia katika pochi? Na ukikubali ivo basi uzembe wako, sifikiri kama hata alokupa pesa atakubali na yeye kama chuma ulete! Fikiria, laki sita izo unafikiri uyo alozipokea ataziweka tu kwenye account? Si atatuoa line kabisa tu baada ya kuzitoa? Tusome mada jamani tusirukie tu kwa kusoma kichwa cha habari pekee yake!!
Chilubi nimekuelewa na km nimekosea MNISAMEHE kwani lengo langu ni kuuelewesha UMMA hii Tasnia ya Electronic Money ni tofauti na watu wanavyoelewa eti kwenda dukani kwa mtu na kununua chumvi halafu akakuzika. ni hivi:-
- Mteja alikwenda kwa wakala na 600,000/= na akawekewa fedha katika simu yake (lazima ataandikishwa hata akiitoa line jina lake lipo na mahali anapoishi papo ktk kitambulisho kinachorekodiwa ktk daftari maalum ya mteja)
- wakala alipomrushia yeye akabaki na hela cash 600,000/= (ghafla hazioni tena hela zenyewe, ni hivi km umemwandikisha kuna no. unapiga tigo pesa wanazichomoa zote kwa huyo mteja na wanakurudishia ww wakala ili mmalizane kwa njia yoyote / hata ukitoa line ndani ya dk 10 hela huwa inarudi)
- Sababu nilizozitoa huenda huyo Wakala alitaka mito (Balloteli) amsaidie kwa njia nyingine. ambapo inachotakiwa ni kuwaarifu tigo wazizuie hizo hela ili mwizi ajitokeze na watampigia simu ya sauti
- Mwisho tigo hatakataa kutoa ushauri kusafisha jina lao utapeli sasa tigo umezidi hata kwa kuwapigia na ndio maana mtoa mada kwenye thread ya 13 na 16 anasema jamaa alishaitoa ile hela hapo hata mm sina uwezo ila Tigo
Naona hujaelewa mkuu au mi ndo sikueleza vizuri. Yaani jamaa (mteja) kampa wakala hela (hiyo cash laki sita) mkononi, huyo wakala akaiweka kwenye pochi/mkoba. Walipomalizana mteja akaondoka kama kawaida. Baada ya muda kidogo ndipo huyo wakala akagundua hizo laki sita hazimo kwenye mkoba. So ni kama zilikuwa za kiini macho hivi
Ok sasa nndo nimekuelewa. Kwa maana hyo inawezea kutokea iwe kwa tigo pesa,M-pesa etc. Nafikiri issue hapa ni utapeli na sio lazima kuihusisha na Tigo Pesa. Au sio?
Naona hujaelewa mkuu au mi ndo sikueleza vizuri. Yaani jamaa (mteja) kampa wakala hela (hiyo cash laki sita) mkononi, huyo wakala akaiweka kwenye pochi/mkoba. Walipomalizana mteja akaondoka kama kawaida. Baada ya muda kidogo ndipo huyo wakala akagundua hizo laki sita hazimo kwenye mkoba. So ni kama zilikuwa za kiini macho hivi
Naona hujaelewa mkuu au mi ndo sikueleza vizuri. Yaani jamaa (mteja) kampa wakala hela (hiyo cash laki sita) mkononi, huyo wakala akaiweka kwenye pochi/mkoba. Walipomalizana mteja akaondoka kama kawaida. Baada ya muda kidogo ndipo huyo wakala akagundua hizo laki sita hazimo kwenye mkoba. So ni kama zilikuwa za kiini macho hivi
kama ni hivo hapa issue sio tigo hapa issue ni CHUMA ULETE
Nashauri ubadili title yako na isomeke "Utapeli kiini macho sasa unatisha"Sasa huu si utapeli wa Tigo pesa bali huyo ndugu yako kapambana tu na mjanja kamuingiza kingi mkuu!hii sio ishu ya kuilaumu Tigo kaka!
hivi umesoma vizuri hii post kabla hukujibu?Huyu jamaa ni mzembe.. maana utafanya vipi transactions haujapewa ela?....Sometimes tusiilahumu kampuni...