Utapeli mpya Startimes

kanewi

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
298
199
King'amuzi cha startimes wamekuja na utapeli mpya wa kuwaibia watanzani,, it happened to me,, hapo kabla niliwauliza kuwa kwa mujibu wa tangazo la TCRA ni kuwa local channels zote ni bire lkn bundle likikata tu nazo zinapotea kwa nn? Jibu lao likawa natakiwa kupeleka Tsh, 30,000 ili ninadirishiwe card ambayo imeisha nikawauliza kadi si mali yenu ambayo mm nalipia bundle la furushi kila mwezi?, nikakatiwa simu, siku ingine nikawapigia na kuwaambia tatizo la kwanza na wakanijibu hivyohivyo nikawauliza kama card yangu inamatatizo na inatakiwa kunadirishwa ila mbona nikinunua bundle inakuwa sawa? nikakatiwa simu,, leo tar 09/08/018 nikakibeba mpaka ofisi zao za buguruni Lozana ili kupata jibu face to face,, wakaniambia kuwa tatizo sio card ila ni smart card inayowekwa ndani ndio natakiwa kuilipia sh, 20,000,,, nikawauliza nani anatakiwa alipie card? Nikafukuzwa na kuondoka,
 
Mkuu hili suala ni kubwa sanaaa mimi huwa linanipa hasra sanaaa wanazingua sanaaa inabd kuliwasilisha tenaaa TCRA.
 
Leo nimekuwa mpole kwa sababu mda wa kurudi ofisini naada ya lunch ulikuwa umefika lkn hawa wafanyakazi wa star times buguruni ni ovyo kabisa, unabishana na huyu anatoa jibu hili mwingine anatoa lingine, yaani wao kwa wao wanabishana,,, na nikagundua aliekuwa upende wangu anatumia hicho kidude chao ovyo na anajua uhuni wanaofanya,,, ila nawatafutia mwanasheria mzuri tufile case kwa reference za TCRA soon na kila tukio la leo nimelirecord
 
huu utapeli ulishawahibkunikuta kwa hawa CRDB yan atm card inashindwa kutoa pesa na ukopiga huduma kwa wateja wanasema network imefanya account iwe dormant na natakiwa nilipie 6000 ili iwe active🙁🙁
 
Card unalipa wewe kila kitu mnataka bure unategemea kampuni iendeshwe na nini , Watanzania bwana kama huwezi hata kulipia elf 9 kwa mwezi si uachane na ving'amuzi tu ? tumia tu radio kila station ni bure..........
 
Acha ujinga, sio kwamba hawezi kulipia ila kwa mjibu wa sheria ya TCRA hizo chanel ni bure...kama hawawezi kutoa bure wabadilishe leseni iwe ya kulipia .

Hii inaonyesha watanzania vile hamjui haki zenu....huyu jamaa alieenda Star times nampongeza sana kwa ujasiri wa kudai haki yake iliyopo kisheria.
 
Wee kweli zwazwa
 
Nmekupa

Nimekupa like mkuu
 
Mtoa mada alalamika malipo ya Card, na hakuna sehemu sheria iliposema hakutakuwa na malipo ya Card incase kuna tatizo la Card, Hata National ID ukipoteza au kuaharibu unanua mpya sembuse star times, tusikimbilie tu sheria na common sense pia itumike kila kitu upewe bure mmesikia hilo ni kanisa au, maana kama nyingi ya huduma zao ni bure they are expecting profit kwenye equipments sells sasa na ivyo mnataka mpate kwa bure tusiwe hivi,
 
Back
Top Bottom