Utapeli mpya mjini

Utapeli mpya mjini

Deva

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Posts
1,238
Reaction score
1,819
anakupigia mtu simu au sms akijinadi kuwa ndiye mwalimu wa mwanao, anakupa taarifa kuwa mwanao ameugua shuleni ghafla, hivyo inahitajika pesa ya matibabu, utatuma pesa au utapiga simu kwa maelezo zaidi, hapo utaambiwa kuwa anahitaji pesa ndio ahudumiwe, wewe kwa pupa utatuma pesa ili mwanao apate nafuu asizidiwe huku ukifanya taratibu za kwenda kumuona, ukifika hospital unaambiwa kuwa hakuna mgonjwa wa hivyo, umeshatapeliwa.

Nimepokea sms hiyo, japo sina mtoto

.
Screenshot_2018-09-30-11-35-42.png
 
.View attachment 882080
Na sisi tusio na watoto utapeli wetu ni upi?
 
Asante mkuu kwa taarifa na kututoa tongo
tongo-tongotongo,
mkuu uwe unamalizia sentensi na maneno ili kuleta maana sahihi,tongo kwa kihehe means pumbu,so sijui wewe umemaanisha nini?maana sidhani kama ni kiswahili...
 
Ni vilaza tu watapatikana km mzazi unapaswa kiwa na simu ya mwalimu wa darasa unaazaje kuwasiliama na huyo tapeli
Aisee sasa sijui wanafikiri kuwa kila mtu ana mtoto?
 
Hivi haya mambo kipindi cha Kikwete yalikuwepo kweli?

Sa hivi watu wameanza tumia akili zao ipasavyo
 
Huyu 'mwalimu pita bwile' atakuwa ameshaliza wazazi kadhaa...

Asante kwa tahadhari.
 
Back
Top Bottom