Utapeli mpya kupitia sms

Always live with intellegent ambrellas.kwa cautioned pple like me hapo atatoka nduk.weka namba tukupe details zake anapatikana wap na anamtandao gan kimawasiliano
 
Safi sana kuamshana hasa kwa wale wanaopenda mteremko
 
Kwa akili yako wewe unafiri kuna wajanja zaidi ya wazaramo?

kama ujanja ni kuongea sana na kukesha kwenye ngoma za usiku basi sawa ila km ni vinginevyo basi nchi haijawahi kupata mapimbi kama wazaramo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…