Utapeli mpya,kuhusu Ujasiriamali

Utapeli mpya,kuhusu Ujasiriamali

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,682
Reaction score
14,067
Haya mafunzo yanayotolewa na wajasiriamali ni utapeli wa hiari kabisa.
Hakuna msaada wowote zaidi ya kuwakamua masikini na kuwapotezea muda wao.
Imefika wakati Watanzania tuamke.
 
Very true.....
mafunzo mengi ni kuwapa pesa tu hao wakufunzi
wakari wao wenyewe sio wajasiriamali kabisa...
 
Utapeli mwingine ni consaltation, hao jamaa wezi wa mchana na wanachaji utafikiri wanakuuzia almasi. Halafu hawana msaada kama ulivyotegemea. Maneno meeeeeeengiiiiii tu.
 
Wakati kila kitu wana Google, hakuna Chochote kisicho mitandaoni ndio maana tunahtaji Elimu iki watu wawe wana cop na teknolojia
 
umewahi kufanyia kazi kile ulichofundishwa? unataka ujasiriamali gani kwao wakati fursa ndio hiyo kwao? watanzania bwana!!!! mnatishaaaaa. fanyia kazi kile unachofundishwa kwanza kuliko kuleta mada zinzoharibu uwezo wa mtu kujaribu, na kumkatisha tamaa.
 
Sina shaka na kufanyia kazi na kile kinachofundishwa
Tatizo...wanaweka mbele fedha,kiingilio,chai,soda na vitafunwa hivi vyote vinahitaji fedha(kimsingi hapo ndipo wanapopiga fedha) bado mtu hujatoa nauli kufika eneo husika...mbaya zaidi wanalenga watu wenye mitaji midogo isiyozidi sh.50,000/=.Wengine huenda mbali kwa kuuza fomu sh.10,000/=(si ndogo hii).
Hawa jamaa peponi hawatakwenda.
Ndio maana ng'ombe zao huzaa dume tu.
 
Tanzania kuna fursa nyingi, ukitaka pesa toa fedha, nao ndio fursa yao. kuna watu wanafanyia kazi hayo mafunzo wanaendelea vizuri kabisa.
 
Sina shaka na kufanyia kazi na kile kinachofundishwa
Tatizo...wanaweka mbele fedha,kiingilio,chai,soda na vitafunwa hivi vyote vinahitaji fedha(kimsingi hapo ndipo wanapopiga fedha) bado mtu hujatoa nauli kufika eneo husika...mbaya zaidi wanalenga watu wenye mitaji midogo isiyozidi sh.50,000/=.Wengine huenda mbali kwa kuuza fomu sh.10,000/=(si ndogo hii).
Hawa jamaa peponi hawatakwenda.
Ndio maana ng'ombe zao huzaa dume tu .

Teh teh teh teh teh teh teh teh you made my day man, uwiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Semina siku hizi million 2 kiingilio!na wakati vipo vitabu vinauzwa 20 unakaa nacho milele au online material kibao bundle lako tu.
Wajinga wanaliwa kila kukicha.
 
Back
Top Bottom