Wilson Gamba JF-Expert Member Joined Mar 1, 2013 Posts 818 Reaction score 905 May 13, 2018 #21 Ni wa kuwapuuza tu,Husiwajibu chochote.
assenga Jr JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 370 Reaction score 461 May 13, 2018 #22 TCRA wako busy na online content
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,466 Reaction score 193,418 May 13, 2018 #23 Hata wao pia sms za aina hii zinawafikia sana... Ila kwa sasa siyo kipaumbele chao kushugulikia ndiyo maana unawaona kimya... Cc: mahondaw
Hata wao pia sms za aina hii zinawafikia sana... Ila kwa sasa siyo kipaumbele chao kushugulikia ndiyo maana unawaona kimya... Cc: mahondaw
ZOPPA JF-Expert Member Joined Jan 20, 2017 Posts 2,751 Reaction score 2,926 May 13, 2018 #24 tcra ni kama chombo cha chama wanataka wapinzani wawakosoe wananchi ndio kiwajibike ILA kwenye mishe kama hzo wanakaa pembeni
tcra ni kama chombo cha chama wanataka wapinzani wawakosoe wananchi ndio kiwajibike ILA kwenye mishe kama hzo wanakaa pembeni