DISPLEI
Member
- Oct 17, 2012
- 73
- 48
Kuna huu utapeli ambao umezagaa sana mitandaoni wa kuwataka watu watume hela kwenye namba fulani, mara kuna mganga kanisaidia, mara nafanya biashara ya madini, kugawa bonus n.k.
Kweli kuna watu wametapeliwa na wanaendelea kutapeliwa. Hivi kwa nini mitandao ya simu na TCRA wasiweke utaratibu wa kutoa taarifa ya namba hizo kwa uchunguzi zaidi na hata kuziblock kila inapotolewa taarifa kuzihusu? Kwanza kuzuia miamala inayoingi namba hizo hisitoke.
Wakishajiridhisha hata kuitaarifu polisi wafuatilie na kuwakamata hawa watu.
Inabidi kifanyike kitu vinginevyo usalama wa mawasiliano haya unatiwa doa.
Binafsi nina namba hizi hadi wakati huu naandika
0623 510 939
0789 789 986
0764 326 731
0764 255 000
0625 344 806
Hapo kuna waganga
Wafanya biashara wa madini
Wa kutaka utumie hela kwenye namba zao.
Natoa wito kwa TCRA na Mitandao ya simu kufanya chochote ili kulinda watumiaji wenye nia njema.
Nawasilisha