utapeli jamani naomba msaada

utapeli jamani naomba msaada

JASX

Senior Member
Joined
Aug 26, 2012
Posts
170
Reaction score
130
NGO inaitwa avan fab international ipo Arusha. Niliomba kazi kwa email wakanijibu kuwa wamepata email yangu. Interview cjaifanya Juzi wamenitumia email yenye attachment ya barua ya kunijibu kupata kazi ikiwa attached na contract. Sehemu inayonifanya nihisi utapeli ni hii wanataka nipost mkataba nitakao usaini ukiwa na cheti cha course ya cpi-child psychological intervention kama sina hicho cheti niattach postal order ya 30000 kama fee ya training ya hiyo course nitakayokuwa naihudhuria jioni nikitoka job
 
Lazima kutakua mawasiliano ya ofc kwao direct wasiliana nao upate majibu kamili cjui uliona hata wapi tangazo lao la kaz so cwez ku jibu ndg jitahd wasiliana nao kiofc na kama vp fika ofcn kwao kwao kwa uhakika kamili
 
Watu wengi wameishatapeliwa kwa njia hiyo, so be cautious!
 
thanx kwa ushauri mimi nipo dar hilo shirika lipo arusha. tangazo la kazi waliliweka taasisi ya serikali ipo maeneo ya bamaga.
 
Hakuna kitu cha namna hiyo....huo ni utapeli kama kampuni inaona unahitaji kuongeza elimu ni jukumu lao kulipia sio wewe..... kama vp waambie wakupe kazi hiyo 30,000 watakukata kwenye mshahara kama utawasikia tena!!.....
 
Thanks nia yao kutapeli coz walitoa nafasi nyingi sana ili wapate watu wengi wa kuwatapeli nimewajibu kwa email kuwa sina 30000 naruhusiwa kupost mkataba bila postal order ya 30000 nataka nione watanijibu nini.
 
Hawata kujibu.....
 
Walikujibu?
 
Back
Top Bottom