Una bahati, ungejichanganya wanakupeleka kule wanakonigia huku njiani wanawasiliana na wenzao kuwa mtego umenasa wajipange. Ukifikishwa linakuwa kundi la vibaka wanakuniga+kukupiga mpaka utoe hela.hahaahaaaa utapeli wa kijinga sana,jamaa wanaangusha hela wanakwambia wameokota mkagawane,kidogo wanipate ila nikamwambia twende tukagawanie kwa trafic pale,akagoma ila ndo nilikua nimeshampa 1000.
Hahahahahninawasubiri wanitafute ili na mmi niwatapeli
Mimi nitakuwa wa mwisho kutapeliwa
Kama kawaida seat ya mbele mkuu! Upo vzr hua nispokuona seat yako huwa nakosa Raha na Uzi!Shukrani sana kwa angalizo
Sharing is Caring
Ahahah mkuu usikose rahaKama kawaida seat ya mbele mkuu! Upo vzr hua nispokuona seat yako huwa nakosa Raha na Uzi!
Nishapata hizo sms kama mbili hivi.Matapeli wengine wanamchezo wa kukutumia sms kwenye simu ya kukuelezea kuhusu mganga alivyotekeleza kazi vizuri kwa mafanikio makubwa, sasa hapo ukionuesha interest tu nawewe kutaka huduma umekwishaa
Kweli mkuu ila ni kwa sababu unatumia fake ID tu. Mleta thread kasema, ukiona wamekujia ni kuwa weshakufahamu saana tu.
Shukrani sana kwa angalizo
Sharing is Caring
Hahaha share tuNaomba nisaidie kushare..
Ukimaindi natuma tena.
Hii ilinitokea 2010 Ubungo pia nkamwambia zichukue tu mie hapana alinipa msonyo wa nguvu na matusi taratibu kama vile hanitukanihahaahaaaa utapeli wa kijinga sana,jamaa wanaangusha hela wanakwambia wameokota mkagawane,kidogo wanipate ila nikamwambia twende tukagawanie kwa trafic pale,akagoma ila ndo nilikua nimeshampa 1000.
juzi nimepokea sms inamsifu mganga,nikamjibu nikamwambia kama wewe amekuwezesha nitumie kwanza 200,000 ili nikuamini,akapotea hakujibu.Nishapata hizo sms kama mbili hivi.
Ila ukiona umetapeliwa ujue umependa mwenyewe.
Mimi mtu hata anijue kivipi, Kama mimi smjui siwezi kumwamini hata dakika moja.
Kama ni hiashara nenda dukani unatoa pesa unapewa mzigo, kama ni hospitali nenda ilipo hospitali kapate huduma hizi online business tuwaachie Wazungu tu
Kutapeliwa ni kujitakia.
Pambana na hoja usipambane na mleta hoja. Hata kama ni mmojawao hiyo sio issue.Umetiririka sana na utapeli ina maana wizi wote huo wamejaribu kwako au unazijua mbinu