kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,342
- 12,065
Ndugu wananchi kuweni makini na hii kampuni inayojiita jina hilo hapo kwenye title.
Imetumia mwanya wa watanzania kukosa ajira na kuamua kuwatapeli vijana na watu wazima walioahidiwa kupatiwa kazi ya kufanya research katika mradi uitwao AGRIFINS, watu wameibiwa hela zao maana kila aliyajitokeza kuomba hiyo kazi aliombwa kuanzia kiasi cha laki 3 mpaka 6 na kazi imeyeyuka.
Ni genge flani la wahuni wakiongozwa na kijana aitwaye Innocent Katamba, kuweni makini na haya makampuni ya udalali hasa wa kutafuta kazi.
Source: Jamaa yangu aliyetapeliwa na kesi iko polisi Oysterbay.